Watani wa Jadi(Wakenya), Ajira Bongo na vyeti feki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watani wa Jadi(Wakenya), Ajira Bongo na vyeti feki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MpigaFilimbi, Feb 10, 2009.

 1. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Hawa watani wa Jadi wamekuwa wakituambia mara nyingi kuwa watz hatujasoma. Wanafika kutafuta ajira Bongo kwa kuongea kiingereza wanaonekana wamesoma baadhi ya waajiri wanaingia kwenye mtego huo hasa hawa wenye shule za English Medium. Na sasa hata vyuo vikuu huenda vikaingia kwenye mtego kama inavyobainishwa na the East African hapa chini
  Bofya:
  The East AfricanĀ - Fake Kenyan teachers rushing for plum university jobs in Tanzania

  Tufanyeje nao? Tuanzishe msako nchi nzima, tukague vyeti vyao? tujadili
   
 2. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kabisa waajiri wengi nchini wanangalia ujuzi wako katika KUONGEA kizungu zaidi ya ueleo wako wa mambo. Mie nadhani imefika wakati sasa kukagua vyeti vya hawa jirani zetu kwa kina kwa kupitia mamlaka husika. Na sio kuwapa ajiri kutokana na ujuzi wao wa kuongea kizungu.
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Mambo ya Kenya ya ujanja ujanja ktk kila kitu!

  Hata hapa Tz veti feki vipo tu!
   
 4. C

  CottonEyeJoe JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2009
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tusidanganyike WaTZ maana hata sisi vyeti kibao feki tuu, tatizo sio vyeti Feki tatizo ni self-confidence kwenye Job Interviews... Vile vile wabongo sisi ni wavivu wa kazi na tunapenda ku-domesticate our workplace, Mkenya hana utu kwenye kazi hata kama ame-forge Vyeti na alimaliza form six, unakuta njemba anapiga mzigo zaidi ya University graduate wa kibongo, sasa mwajiri unafikiri anajali vyeti feki au anataka kazi ifanyike na sio mambo yaende "kibongo bongo" wabongo kibao vyeti genuine wanavyo; ukimsikiliza au kuona kazi yake ni utombo tupu, ...yote haya source yake ni ujamaa....WAKE UP TANZANIANS!!!!
   
 5. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wakenya ni wajanja wajanja...sababu alizotoa CottonEyeJoe...hazi justify the whole mean.
  Hizi chekeckea watazimaliza hawa...jamaa wanakuja na vyeti vyeki au kuja kutengenezea bongo hapa..hapa kwa ajiri ya kufundisha...waototo wetu.Watanzania wanafanya kazi...kwa bidii...na wapo..vinginevyo tusingekuwa hapa kama mawazo yetu yote yangekuwa kama ya CottonEyeJoe..inawezekana kijana wewe uko kenya.Kama uko na watu wasio fanya kazi....kuwa mabadiliko unayo yahitaji...na sio kuongea tu ilimradi umechangia....
   
 6. C

  CottonEyeJoe JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2009
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  My Brother/Sister, the truth hearts i know, ukweli ni wabongo sisi blah blah nyingi sana... we are just not prving to be go-getters like our east african counterparts, we have been paralyzed by our own regimes and as such wabongo tumekua watu wakukubali matokeo, we have more fertile soil then the whole of east africa put together yet Kenya wanauza agri-processsed product kuliko sisi...just an example of the fact kwamba tumelala.... na kazi zetu utafikiri watatusamee kwa mwendo huu????
   
 7. e

  eddy JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2009
  Joined: Dec 26, 2007
  Messages: 9,361
  Likes Received: 3,762
  Trophy Points: 280
  Nadhani niwakati wa serikali kuthink big, inapaswa serikali iweke bilateral agreement na nchi kama australia sweden etc, watz wakaenda huko kwa summer jobs na work-in-holidays na wao wakatuletea professors.
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hamna kitu..
   
 9. M

  Mahmoud Qaasim JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2009
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 922
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 60
  Hivi ni kwanini wa Tanzania tunapenda kubisha kwamba hali yetu ya kiutendaji ni mbaya wakati hali halisi inajionesha wazi?, waTanzania wengi sisi ni wavivu na sio majasiri wa kukabiliana na hali ya mabadiliko badala yake tunapeleka maombi na lawama kwa serikali kwamba ndio itubadilishie hali hii. inashangaza tunavyoshindwa kujitizama na kuona mapungufu yetu kulingana na wenzetu, badala yake tunaridhika na hali hii.
   
 10. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,997
  Trophy Points: 280
  pamoja na hayo ambayo yana ukweli, lakini hiyo aijustify mtu kuja na vyeti fake
   
 11. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2017
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Hawa wapitwe tena kuna shida hapa.
   
 12. B

  Babati JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 30,967
  Likes Received: 24,086
  Trophy Points: 280
  Sasahivi hali ikoje?
   
Loading...