b191
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 742
- 1,031
Habari Wanabodi,
Juzi nikiwa katika sherehe ya harusi moja hivi ambayo Mkurugenzi wa Manispaa (Jina ninalihifadhi kwa sasa) alihudhuria pia.
Katika sherehe hiyo Mkurugenzi alipewa nafasi ya kusema neno na Kutoa ahadi hii,
"Ninawa-ahidi maharusi hawa kuwatafutia na kuwapatia kiwanja, kila kitu kitakuwa ni juu yangu".
Ninachojiuliza hapa;
1. Je Mkurugenzi huyu hatumii mamlaka aliyopewa vibaya?
2. Je Mkurugenzi anayo mamlaka ya kumtafutia mtu binafsi kiwanja?
Nawasilisha.