Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,351
Nilikuwa Dodoma hivi karibuni...Kwakweli kuna mikoa watu wanasema gharama za maisha zipo juu...lakini huu wa Dodoma umezidi..bidhaa zinauzwa mara mbili ya bei halisi kama siyo 75%+..
Watu wa Dodoma mnaishije? Wenye ushuhuda naomba muungane na mimi kwenye uzi huu.kwa mifano ya bidhaa chache za muhimu...
Watu wa Dodoma mnaishije? Wenye ushuhuda naomba muungane na mimi kwenye uzi huu.kwa mifano ya bidhaa chache za muhimu...