Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dar es Salaam. Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema watu 7.2 milioni sawa na asilimia 80 hufariki dunia kila mwaka duniani kutokana na matumizi ya tumbaku. Taarifa iliyosomwa leo (Jumatano) na...
1 Reactions
8 Replies
963 Views
Tiger Woods anaamini yeye ni mtu wa asili nyingi na hata alijiundia jina mseto kueleza asili yake, na kusema asili yake ni Cablinasian. Cablinasian ni neno linalotokana na Caucasian(Mzungu), Black...
1 Reactions
60 Replies
8K Views
Hii inashangaza sana na inakua kwa kasi kubwa Traffic Police cha kwanza akikukamata Tanzania atakuambia nyie mnatudharau kwa sababu sisi ni darasa la saba, sasa wewe kunisimamisha kwako na...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Msiwatishe watumishi wa mjini kuhamia vijijini mkiwahamisha kwanza mtambue. 1. Hakuna kijiji cha adhabu wala kituo cha kazi cha adhabu. 2. Mwenge wenu atapokea na kukesha nani? 3. Usafi wenu wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Promotion ya Jaza Ujazwe ya mtandao wa Tigo imeonyesha kutokupokewa vyema sana mtaani kwani watu wengi wamekuwa wakilalamikia hawajisikii poa wanapoambiwa maneno hayo wanapopiga simu au kutumiwa...
7 Reactions
125 Replies
26K Views
nimeona niulize hili swali, Mana binafsi sijui hua wanamaanisha nn wanaosema hvyo ikiwa ukiangalia mwandishi kaandika vizuri tuu ukiachan na makosa mdogo madogo ya kiuandishi
0 Reactions
39 Replies
2K Views
“HATUNA jibu mzee huyu atazikwa lini na wapi, lakini mwili wake bado tumeuhifadhi hapa na Serikali inaendelea kuwatafuta ndugu zake halisi ili kujua taratibu za mazishi,” amesema Mkurugenzi wa...
2 Reactions
48 Replies
10K Views
Kwakuwa mradi wa DART (BRT) umejengwa kwa mkopo murua toka benki ya dunia, na kwa kuwa kodi yangu ndio itakayotumika kuulipa mkopo huo, nahitaji kujua, mgawanyo wa mapato baina ya muendeshaji wa...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Salma Juma na wenzake wawili wanaodaiwa kukutwa na magunia ya bangi na kuamuru wasikamatwe tena na kushtakiwa katika mahakama hiyo. Uamuzi huo...
0 Reactions
5 Replies
984 Views
habari wanaJF!!! Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza kumekuwa na makampuni mengi ya mawasiliano hapa Tanzania, hali inayo pelekea kuwa na ushindani mkubwa sana. kwa upande wetu sisi...
1 Reactions
56 Replies
13K Views
Hivi hii kitu kweli..... [emoji16] [emoji16] [emoji16]
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Nikiwa katika pitapita nimesimama hapa Kitunda panaitwa Magole kwa mpemba zinakuja gari ndogo mbili zinakimbizana. Ile gari ya nyuma ambayo naamini ni walinda usalama anatokea mmoja na kupiga...
14 Reactions
101 Replies
13K Views
Hiyo ni ishara kuwa upasuaji mkubwa wa uti wa mgongo aliofanyiwa,umefanikiwa. Wenzake Wilson Tarimo na Saidia Ismael wameruhusiwa baada ya kupata matibabu na sasa wanaendelea na mazoezi ya viungo...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habar kilivyo hapo juu Tigo wamezindua kwa mbwembwe nyingi kifurushi kinachoitwa halichachi Baada kuangalia kifurushi hicho nilichokikuta kwa kweli niliona tunarudi nyuma hatua...
20 Reactions
131 Replies
22K Views
Watu wengi husuani wamama na wababa wamekua wahanga wakubwa wa wizi wa mitandaoni pamoja na wa kwenye ATM, nilishuhudia mmama mmoja akilia kwa kuibiwa milioni moja kwenye ATM za bank jina kapuni...
2 Reactions
34 Replies
8K Views
Jamani nini kinaendelea kuhusu huyu Mtanzania mwenzetu? It is all around silent!
0 Reactions
4 Replies
708 Views
KILIO CHA WATOTO WA MASKINI BAADA YA SERIKALI KUSEMA KUWA HAIAJIRI WALIMU WA MASOMO YA SANAA (ARTS) Kwa kuwa watoto hawa wa maskini walikuwa na uhakika wa ajira baada ya kihitimu, na pengine...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwa wakala wa Barabara-TANROAD, DSM! Haya ni malalamiko na kilio cha wakazi wa Kata ya Mbezi ambao wengi wanatumia Barabara hii kwa muda mrefu barabara hii imekuwa haifanyiwi matengenezo ya mara...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Idadi ya kina Mama wanaoomba katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan inaongezeka kila mwaka, kuna kitu cha kujifunza na kufuatilia kuhusu maisha yao! Kuwasaidia peke yake haitoshi.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanasayansi wachanga wa shule ya Mbeya day wamefanikiwa kugundua kiti chenye magurudumu matatu kinachotumia Umeme kuendeshwa. Kiti hicho kina vitufe upande wa kushoto na kulia vinavyomuwezesha...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…