FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,898
- 43,802
Kwakuwa mradi wa DART (BRT) umejengwa kwa mkopo murua toka benki ya dunia, na kwa kuwa kodi yangu ndio itakayotumika kuulipa mkopo huo, nahitaji kujua, mgawanyo wa mapato baina ya muendeshaji wa mradi na mmiliki wa barabara (serikali) ukoje? Na ni kiasi gani kinapatikana kila mwezi baada ya kuondoa matumizi na kodi zote?