Kifurushi cha mtandao wa Tigo kiitwacho halichachi

ibuo

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
464
438
Kama kichwa cha habar kilivyo hapo juu Tigo wamezindua kwa mbwembwe nyingi kifurushi kinachoitwa halichachi

Baada kuangalia kifurushi hicho nilichokikuta kwa kweli niliona tunarudi nyuma hatua elfu moja kwenye matumizi ya internet,sh 2000 unapata mb 150 na sh 3000 unapata mb 400 nilichoka
 
umeangalia zaidi Data, ila kuna watu wanakikimbilia kwasababu kinawaokoa kwenye voice... Kila mtu na upande wake
 
Kama kichwa cha habar kilivyo hapo juu Tigo wamezindua kwa mbwembwe nyingi kifurushi kinachoitwa halichachi

Baada kuangalia kifurushi hicho nilichokikuta kwa kweli niliona tunarudi nyuma hatua elfu moja kwenye matumizi ya internet,sh 2000 unapata mb 150 na sh 3000 unapata mb 400 nilichoka
Nenda pale ferry kuna free wifi ya white nyumba
 
Hizo Mb 400 kwa Sh 3000 halafu hazichachi unaweza kukuta mpaka umefika wiki umetumia Mb 60 kutokana na Kasi ya konokono.

Wanasema Bure aghali

Bora niendelee na hawa hawa wacommunist.

1500 ukijiunga unasema kweli pesa yangu imekwenda kihalali.

Hivyo vifurushi vyenu hafichachi kwa sababu vimeshaoza na sidhani kitu kikishaoza kinarudi tena kuchacha.
 
Kama kichwa cha habar kilivyo hapo juu Tigo wamezindua kwa mbwembwe nyingi kifurushi kinachoitwa halichachi

Baada kuangalia kifurushi hicho nilichokikuta kwa kweli niliona tunarudi nyuma hatua elfu moja kwenye matumizi ya internet,sh 2000 unapata mb 150 na sh 3000 unapata mb 400 nilichoka
Wameamua kutuchokoza wateja wao, wamesahau kwamba changamoto tuliyonayo wateja wao siyo kuchacha kwa vifurushi bali ni vifurushi kuisha haraka, wapunguze bei watuondolee hii takataka.
 
Nadhani unalipia kutokuchacha kwa kifurushi ndio maana gharama zimeongezwa
 
Back
Top Bottom