Msiwatishe watumishi wa mjini kuhamia vijijini

ABAANADYA

Member
Apr 30, 2017
36
7
Msiwatishe watumishi wa mjini kuhamia vijijini mkiwahamisha kwanza mtambue.

1. Hakuna kijiji cha adhabu wala kituo cha kazi cha adhabu.
2. Mwenge wenu atapokea na kukesha nani?
3. Usafi wenu wa mwisho wa mwezi atafanya nani?
4. Nani mwenye haki ya kubaki mjini/nani mwenye mjini.
5. Mnazorotesha vijijini ili iwe kitishio.

Khilafahi kwa maendeleo ya kweli hadi vijijini yote yataondoka.

Demokrasia ni uvundo unaonuka.
 
Hivi mkuu hilo tamko limetoka lini tena maana mwaka huu watumishi kazi kwelikweli
 
Pokeeni ulipokuja huku kwetu tulitoka saa kumi jioni mpaka saa nane za usiku tukiwa uwanjani hapa kwideco. sasa ilipofika saa sita kasoro tukaitwa na roll call(sijui ndo ivyo) alafu kesho yake nilitakiwa niwahi kazini saa mbili.

Vumilieni bana na muandae hela ya kutoa ya mwenge ohhh.
 
Back
Top Bottom