mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 892
- 1,709
Hii inashangaza sana na inakua kwa kasi kubwa Traffic Police cha kwanza akikukamata Tanzania atakuambia nyie mnatudharau kwa sababu sisi ni darasa la saba, sasa wewe kunisimamisha kwako na kutokusoma kwako mimi kunanihusu nini ?
Kama hukwenda shule sio kosa langu, nenda ukajiendeleze kuna QT kuna vyuo vya course fupi fupi hata ufundi cherehani nenda kasome.....
Halafu utamsikia nyie mnajidai sana mnatuona sisi maskiini na mnadharau sana na magari yenu.....okay unajua nimehustle kiasi gani kupata au kufika hapa nilipo ?
Sikiliza au sikilizeni wote tumezaliwa na viuongo sawa na tuna masaa sawa sioni wewe uliposhindwa kupata nilivyonavyo mimi, akimaliza hapo atakwambia mnaidharau sana serikali iliyopo sasa.....wewe na serikali iliyopo sasa hivi inahusika vipi ?
Wewe ni wa kuangalia usalama wangu barabarani haijalishi serikali ipo au haipo madarakani wewe upo barabarani na hapo anakuambia hayo hana maadili anaongea na wewe kama anaongea na paka au kuku au mnyama fulani sasa na wewe unapojibu kama anavyokuuliza anakuja juu utamsikia naingia kwenye gari geuza twende kituoni......au anachomoa funguo za gari yako..
Hawana maadili kabisa ni kama hawajawahi kwenda shule yoyote , lakini niwaase tu wakumbuke kuna maisha baada ya muda wa kazi na hawajui wao watakua hiyo nafasi mpaka lini mfano mzuri waige kwa kamanda Siro na Mangu nani alijua asubuhi umpigiae saluti jioni kibao kinageuka ?????
Kwanza naomba wahusika mnijibu haya maswali;
1. Je Traffic Police anaruhusiwa kuingia ndani ya gari yangu na kuniamuru nigeuze au nielekee kituoni?????
2. Je Traffic Police anaruhusiwa kuchomoa funguo za gari yangu au chombo chochote cha moto?
3. Je Traffic Police anapotumia lugha chafu isiyo na nidhamu na adabu tunamshtaki wapi au anaadhibiwa vipi ?
Mwisho naomba vyombo husika vitoe mafunzo ya maadili kwa watoaji huduma hawa.