HIV UANDISHI WA KIFACEBOOK NDO UKOJEE?

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
6,796
21,702
nimeona niulize hili swali, Mana binafsi sijui hua wanamaanisha nn wanaosema hvyo ikiwa ukiangalia mwandishi kaandika vizuri tuu ukiachan na makosa mdogo madogo ya kiuandishi
 
Hata wewe umejitutumua sana. Ila hayo maneno yako huyaandiki kwa ufasaha. Kwa mfano mdg inaweza kufasilika tofauti na ulivyokusudia. Nionavyo wengi waliomo humu JF ni watu wazima na hawapendi maneno ya mkatokato au vifupisho visivyo rasmi.
 
NOTED. kumbe kweli kuna vitu km hivii, ila blv me kuna wengne wanasema tu bila kujua utofaut
 
Back
Top Bottom