Jaza ujazwe ya Tigo yaleta kizazaa, Jamaa atishia kuwashtaki

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Promotion ya Jaza Ujazwe ya mtandao wa Tigo imeonyesha kutokupokewa vyema sana mtaani kwani watu wengi wamekuwa wakilalamikia hawajisikii poa wanapoambiwa maneno hayo wanapopiga simu au kutumiwa ujumbe wenye maneno hayo
Hii imempelekea jamaa mmoja kuwapigia watoa huduma wa mtandao huo na kuwatishia kuwashtaki akidai ni matusi



Pia huko mtandaoni watoa huduma wa Tigo wameendeleakushukiwa na wateja wao kama inavyoonyesha hapo

upload_2017-5-30_17-26-44.jpeg
 
Ukiona mtu mzima kabisa na akili zake timamu na anaejitegemea anatumia huo mtandao jiulize mara mbili mbili uwezo wake wa akili.

Huo mtandao ni kwa ajili ya mabeki tatu na watu wasiojielewa ambao wanapenda ofa ofa za bure bure na ambao hawana cha kupoteza hata mtandao ukikosa hewani mwezi mzima.

Mitandao yote hii na bora ya simu mtu utumie mtandao wa kujazwa na kujazana?

Endeleeni kujazwa. Tena awajaze za mapacha.
 
Huku ni kutokua Na akir ivi ukisikia kujazwa unawaza kufanywa nn !!!! Unawaza kitu kimoja cha upande hasi tuu kwan jazwa ujazwe lina maana moja2!!!! Zipo maana nyingi hyo mnayodai nyie Hata ukienda kwenye kamusi haipo maana ya kujazwa ipo tofauti!!!! Nachotaka niseme kwa TIGO ni hv ENDELEENI KUJAZA MPAKA TUSAZEE
 
Yaani unapiga mtu na yeye anakupiga daaaah matangazo yenu hatari sana
 
Back
Top Bottom