Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakati Serikali inaintroduce tozo za vati kwenyewe utalii kuna waliobeza Tozo ya vati kwenyewe utalii.Sasa Lema sijui ataongea nini maana kaprove wrong!!! Aibuuu sana Kwa makampuni ya utalii...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Ewura watumbuliwe Kwa kundelea kuwakumbatia IPTL.Mnakumbuka IPTL ndio kampuni iliyotuingizia mamilioni ya ya hasara Kwa kutuuzia Umeme ghali sana.
0 Reactions
2 Replies
866 Views
#KEBudget17 = $22.15 Billion #TZBudget2017 = $14.72 Billion #UGBudget17 = $8.07 Billion #RwandaBudget2017 = $2.37 Billion
0 Reactions
4 Replies
716 Views
MKUU wa Wilaya ya Dodoma, Christina Mndeme, amepiga marufuku uingizaji na uchinjaji wa nguruwe, kufuatia mlipuko wa homa ya nguruwe. Alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akizungumza na madiwani na...
0 Reactions
85 Replies
10K Views
Na Dotto Mwaibale WAKINA Baba nchini wametakiwa kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa watoto wao badala ya kuwaachia kazi hiyo ifanywe na wakina mama pekee. Mwito huo umetolewa na Selemani Bishagazi...
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Clouds Media kupitia chaneli mpya ya Clouds Plus, naona Ruge ameamua kuinua industry ya Bongo Movie, hii chaneli imeanza vizuri. Wanajitahidi kuonyesha Movie za mastaa wakubwa wa Bongo compared...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Sijui ni kalama, sijui ni nature, sijui ni mapenzi ya Mungu! Mchungaji Gwajima akiwa anaongea utapenda umsikilize,hata kama uko opposite nae. Na akiwa anaongea maneno yake huwa matamu sana...
9 Reactions
64 Replies
9K Views
Naangalia michuano ya sport pesa, duh! Camera zao sijui zikoje watu wote wanaonekana virikuu! Pia kurudia tukio sijui wanarewind kama kanda za zamani.! Nunueni mitambo ya kisasa kama Azam tv.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hapa ndipo alipozaliwa na kukulia. Hapa akiwa na familia yake Moscow ubalozi wa Tanzania Uzio wa shamba lake huko Muleba,kiasili zaidi. Geti la kuingia kwenye nyumba yake likiwa...
14 Reactions
204 Replies
73K Views
Nimekuwa nikitafakari juu ya uamuzi wa serikali kufuta fao la kujitoa na kuongeza makato bodi ya mikopo kwa wanufaika kinyume na mikataba ya wanufaika bila majibu stahiki.. Mwisho nimegundua kuwa...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Leo kwa hasira Kali nilizonazo juu ya kinachoendelea huko Mkoani Pwani hasa eneo ' hatarishi ' kabisa la Kibiti sitoweza ' kutiririka ' na ' kuserereka ' kama kawaida yangu ila niseme tu bila...
10 Reactions
80 Replies
8K Views
Nimerudi kutoka kazini mida ya saa 12 jioni, nikapaki gari langu ndani ya fence, nikaamua niangalie TV na nakufanya shughuli zangu za ofisini. Baada ya kula mida ya saa mbili, nikaenda kulala...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi wakubwa wa jukwaa hili Tumeweza kuona huko uganda kuna watu ambao wanaitwa rich gang, mmoja wa watu waliokuwa wakiunda kundi hilo ni mfanya biashara ivan don ambaye kwa sasa ni...
2 Reactions
156 Replies
16K Views
Nimerudi kutoka kazini mida ya saa 12 jioni, nikapaki gari langu ndani ya fence, nikaamua niangalie TV na nakufanya shughuli zangu za ofisini. Baada ya kula mida ya saa mbili, nikaenda kulala...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi nimesoma hadi chuo nikitumia majina mawili ninataka kuongeza la tatu msaada please (tafadhali) kwa hatua za kuchukua. Nisaidieni wana jf
1 Reactions
98 Replies
63K Views
Wanabodi niliweka bandiko hapa kwamba naenda Nairobi na ni Mara yangu ya kwanza niliomba kupewa majina ya maeneo ya kujidai nashukuru Sana kwa maelekezo yenu nashukuru mungu nimerudi salama, Kwa...
3 Reactions
41 Replies
7K Views
Tangia nianze kuyafahamu haya Magazeti ambayo pia nimegundua kuwa yana mlengo wa Kiupinzani zaidi sijawahi hata siku moja kuona yakija na Headlines njema kuhusu Bajeti zote za Tanzania hasa kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…