Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

#RipotiYaKwanza Lissu: Tusihangaike na udongo, tuhangaike na mikataba na sheria mbovu za madini zilizotufikisha hapa. Tuangalie tulipojikwaa, tusiangalie tulipoangukia. CCM: Lissu analinda wezi...
0 Reactions
6 Replies
977 Views
Inasikitisha kuona wafanyakazi wa kampuni ya Acacia inayomiliki migodi ya North Mara, Bulyanhulu na Buzwagi imejiandaa kupeleka wafanyakazi wapatao 1200 mitaani kwa kile wanachosema kuendelea...
0 Reactions
38 Replies
10K Views
Kila mtu anamsaidia Raisi Magufuli kadri ya awezavyo.Mzee Butiku tumekusikia na tumekuelewa barabara.Kwamba viongozi wengine vikiwemo vyama vya kiraia vimsaidie Raisi katika vita hii ya kiuchumi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwanza napenda kumpongeza Mh. Rais wetu kwa kuthubutu kulianzisha Dude hili la madini kwani tumeibiwa sana tena sana. Lakini naomba kujibiwa maswali haya ili niweze kuamini na kumuamini Rais...
6 Reactions
20 Replies
5K Views
Nimesikiliza ripoti hizi za madini na kumtazama Rais Magufuli anavyopambana kuinyoosha nchi dah nimetikisa kichwa. Nasikitika kwa sababu ktk Uchaguzi Mkuu wa 2015 kuna wimbi kubwa lililoongozwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba ni declare my interest Mimi sio muumini wa siasa za bongo hata kidogo na hii ilitokana kukosekana na viongozi wa kukemea matende ya rushwa,ubazilifu wa Mali za umma n.k. Lakini kwa hili...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwanzo niliwahi kusikia Mahakama, Bunge,Serikali ni mihimili inayofanya kazi kwa kujitegemea n'a hakuna mwingine unaoweza kuingilia mwingine lakini Léo nimemsikia Rais Ambae ni mtu wa serikali...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Najaribu kuwaza tu mfano ikifanyika sensa ya utambuzi Wa akili za watu duniani ( kutafuta nchi yenye watu wenye akili sana nchi ya kwanza hadi ya mwisho) unafikili Tanzania inaweza shika namba...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi binafsi naona ni sawa na kutafuta bikira kwenye kundi la wanawake walio olewa na kila mmoja ana watoto 3.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Muda huu Wanahabari wakimfuata nyuma Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali Andrew Chenge (MB) kumhoji baada ya kutajwa na kamati ya 2 ya makinikia.
6 Reactions
94 Replies
14K Views
Kuhujumu uchumi(economic sabotage) adhabu ni kufilisiwa na kufungwa no discussion according to the law. To under declare the value of exported product/goods ni economic sabotage. Gavana mkuu na...
0 Reactions
3 Replies
978 Views
Huu mkuki ukitua Man wapinzani watakoma
0 Reactions
2 Replies
982 Views
China Eastern flight lands safely in Sydney with hole torn in engine Ndege ya Shirika la Usafiri wa anga la Eastern China imetua kwa dharura mjini Sydney baada ya kutokea matatizo katika mfumo...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Habarini? Ni muda sasa.tanesco wamekuwa na tabia ya kukata umeme usiku.tunashindwa kuwaelewa ni mgawo au wana lao jambo. Kama jana wamezima umeme saa 9 usiku mpaka asubuhi saa 1.
2 Reactions
0 Replies
646 Views
Kama kweli watanzania wanaumia na wizi huu wa mali za umma tuanze shinikizo la haya yafuatayo!. 1.Tuilazimishe serikali itake isitake Rasimu ya Warioba irejeshwe na kupitishwa ili kuondoa kinga...
1 Reactions
4 Replies
719 Views
Serikiali inapoteza dola za Kimarekani Milioni 30 kila mwaka kutibu wagonjwa wa saratani iliyotokana na matumizi ya Tumbaku ambao ni asilimia 32 ya wagonjwa wanaopata huduma katika Hospitali ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja. Kusema ukweli hii television ya taifa inatia aibu hata kama hamko ki biashara ila hata ubunifu mnakosa. Jaribuni kuwa wabunifu japo kidogo hata kama...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwanamke wa kijiji cha Mahembe Kigoma anusurika kifo baada ya mume wake kumkata kwa kisu shingoni kutokana na wivu wa mapenzi. Mwanamke mkazi wa Kijiji cha Mahembe, Wilaya ya Kigoma,Bibi SIYAJUI...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…