mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,107
- 50,839
Habarini?
Ni muda sasa.tanesco wamekuwa na tabia ya kukata umeme usiku.tunashindwa kuwaelewa ni mgawo au wana lao jambo.
Kama jana wamezima umeme saa 9 usiku mpaka asubuhi saa 1.