jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,009
- 38,302
Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja.
Kusema ukweli hii television ya taifa inatia aibu hata kama hamko ki biashara ila hata ubunifu mnakosa.
Jaribuni kuwa wabunifu japo kidogo hata kama mnategemea rudhuku ya serikali kujiendesha.
Msimamizi wa vipindi sijui hili halioni vipindi vingi na matangazo vinarudiwa sana unaweza kuta kipindi ulichokitazama au tangazo ulilolitazama mwezi uliopita liko vile vile kila kitu vile vile nabaki najiuliza hivi ndio tumeishiwa hivi.
kwa mfano kuna kipindi cha mziki cha leo zinazokiki bongo yani miziki ni ile ile tangu mwezi huu umeanza huo ni mfano wa mengi ninayo yaona.
Kingine Quality ya picha/videos kusema ukweli ziko low jaribuni nitazama hata kwa wenzetu Rwanda TV.
Narudia tena TBC mnatuangusha waTz.
Nawasilisha..