Maramla
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 584
- 644
Nimesikiliza ripoti hizi za madini na kumtazama Rais Magufuli anavyopambana kuinyoosha nchi dah nimetikisa kichwa.
Nasikitika kwa sababu ktk Uchaguzi Mkuu wa 2015 kuna wimbi kubwa lililoongozwa na akina Lowasa na Sumaye.
Nao eti walitaka kuchukua nchi hii waiongoze.Nasema hawa jamaa si bure.
Mradi wao ulikuwa mkubwa sana.Lazima walimjua JPM na misimamo yake na waliona mbali kuhusu hatua hizi kibwa basi wakajaribu kujitoa kwa niaba ya hao jamaa kujaribu kuzuia mafuriko ya JPM.
Bahati nzuri walitumia mikono kujaribu kuzuia mafuriko ya El Nino.
Leo nimepita tu kutoa shukrani kwa Mungu Baba.Asante BABA kwa kutunasua na project ya kifo!
Political Jurist, UDOM