Ndege ya Shirika la Usafiri wa anga la Eastern China imetua kwa dharura

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
7,894
2,000
China Eastern flight lands safely in Sydney with hole torn in engine

Ndege ya Shirika la Usafiri wa anga la Eastern China imetua kwa dharura mjini Sydney baada ya kutokea matatizo katika mfumo wake wa engine.
Ndege hyo aina ya Airbus A 330-200 (Siyo Bombadier) ilikua ikitokea Sydney kwenda Shanghai ililazimika kurudi na kutua kwa dharura kwenye uwanja ilipotoka.

Picha za ndege hyo zinaonyesha tundu kubwa kwenye moja ya injini za ndege hyo.
Abiria wote wametua salama.
1497282860942.jpg
1497282839560.jpg
1497282818998.jpg
1497282608503.jpg
 

mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,402
2,000
Kweli sio bombadier la sivyo saa hii tungelikuwa tunasema mengine hapa. Ati itue kwa dharura JNIA au KIA. Nani apone?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom