Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,202
- 2,035
Naomba ni declare my interest Mimi sio muumini wa siasa za bongo hata kidogo na hii ilitokana kukosekana na viongozi wa kukemea matende ya rushwa,ubazilifu wa Mali za umma n.k.
Lakini kwa hili analofanya mh Rais ni hatua ya kupongezwa na kuombewa.Msema kweli ni mpenzi wa Mungu mi nitakuombea usiku,mchana na Asubuhi
Wito wangu kwa viongozi wa dini waweke siku maalumu ya kumwombea mh Rais. Nawasilisha