Je unafananisha na nini kumpata mzalendo ndani ya ccm?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Mimi binafsi naona ni sawa na kutafuta bikira kwenye kundi la wanawake walio olewa na kila mmoja ana watoto 3.

62ff0a4a4fc7918de0e9bf744f7128f6.jpg
 
Chaa ajabu ndugu zangu wa CHADEMA wanawagombania, alafu kesho ndio wanakuwa wawakilishi wao. Hivi hili sakata la madini SUMAYE na LOWASA wanachomoka vipi, maanake nawaona kama mmewasahau. Ujue sometime tuache unafiki hauwezi kuchukia nguruwe alafu mchuzi wake unaunywa.
 
Chaa ajabu ndugu zangu wa CHADEMA wanawagombania, alafu kesho ndio wanakuwa wanakuwa wawakilishi wao. Hivi hili sakata la madini SUMAYE na LOWASA wanachomoka vipi, maanake nawaona kama mmewasahau
Magu hana uzalendo wowote!!!!!
Kama akiwa waziri hadi nyumba ndogo ilihongwa nyumba ya serikali sembuse akiwa le prezidaa!!!!!
 
ni ngumu kama vile peter msigwa kurudia kutamka maneno haya leo "anayemuunga mkono lowasa, akapmwe akiri"
 
Chaa ajabu ndugu zangu wa CHADEMA wanawagombania, alafu kesho ndio wanakuwa wawakilishi wao. Hivi hili sakata la madini SUMAYE na LOWASA wanachomoka vipi, maanake nawaona kama mmewasahau. Ujue sometime tuache unafiki hauwezi kuchukia nguruwe alafu mchuzi wake unaunywa.
Mkuu nyie CCM ndiyo wenye dola kama kweli mna uchungu na hii nchi wakamateni hao kina Lowasa na Sumaye pelekeni kwenye mahakama ya mafisadi manyofugia popo
 
[HASHTAG]#RipotiYaKwanza[/HASHTAG]

Lissu: Tusihangaike na udongo, tuhangaike na mikataba na sheria mbovu za madini zilizotufikisha hapa. Tuangalie tulipojikwaa, tusiangalie tulipoangukia.

CCM: Lissu analinda wezi. Mikataba na sheria za madini hazina shida. Shida ipo kwenye udongo wenye makinikia. Tumeibiwa sana kwenye udongo. Hatukubali.

[HASHTAG]#RipotiYaPili[/HASHTAG]

JPM: Tumelogwa na nani? Watanzania tumeibiwa sana. Naagiza mikataba yote na sheria zote za madini zipitiwe upya.

CCM: Rais wetu mzalendo. Amefanya kazi kubwa sana. Tumuombee.!!

[HASHTAG]#MyTake[/HASHTAG]:
Lugha ileile aliyoongea Lissu akaambiwa amehongwa, ndiyo aliyoongea JPM leo akaitwa mzalendo. Akili za CCM kama kifurushi cha jaza ujazwe .!
 
Chaa ajabu ndugu zangu wa CHADEMA wanawagombania, alafu kesho ndio wanakuwa wawakilishi wao. Hivi hili sakata la madini SUMAYE na LOWASA wanachomoka vipi, maanake nawaona kama mmewasahau. Ujue sometime tuache unafiki hauwezi kuchukia nguruwe alafu mchuzi wake unaunywa.
Kwenye report hawapo
 
Back
Top Bottom