Wanahabari wakimfuata nyuma Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali Andrew Chenge (MB) kumhoji

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
Muda huu Wanahabari wakimfuata nyuma Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali Andrew Chenge (MB) kumhoji baada ya kutajwa na kamati ya 2 ya makinikia.
tmp_31776-IMG_20170612_171101-1835718658.jpg
 
Huyu Mzee apewe medai, au tumpeni Ballon d or!!! Maana kila sehemu yenye upigaji mkubwa mzee yupo, kinacho shangaza bado yupo kwenye uongozi serekalini.
Hahahahaha
Huyu jamaa kila scandal yupo aiseee
 
Back
Top Bottom