Gambino X
Member
- Aug 20, 2014
- 75
- 104
Kuhujumu uchumi(economic sabotage) adhabu ni kufilisiwa na kufungwa no discussion according to the law. To under declare the value of exported product/goods ni economic sabotage.
Gavana mkuu na Waziri wa fedha wanawajibika sana, Ndiyo wana report ya export na imports zote wakishirikiana na wasaidizi wao TRA kupanga uwiano wa bei(tarrifs) n.k, bila wao hili tatizo halitokwisha ni sio ishu ya mikataba mibovu la hasha. PHD ya darasani is not enough, we need experts from fields cause they know better.
Hili swala sio katika madini tu but all exports kuna mushkeri sana katika tarrifs, pia kwenye utalii na wildlife hatari sana inasababisha kuporomoka sana kwa thamani ya shilingi...Matokeo ndo kama hivo riba za benki kupanda tu kila kukicha.
Nchi yetu inaweza kuwa tajiri in just few years of good policies implementation na usimamizi mzuri wa sheria.
Solution: Sheria za fedha za dunia zizingatiwe na kutekelezwa - Hashim Mbonde