Tofauti Kubwa Kati yetu Na Wao ni Hizi

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,837
12,317
Nimekaa nikaangalia kizazi hiki cha 90s na kizazi chetu za 70s kushuka chini nimeona kuna tofauti kubwa sana na nimesikitika sana.
1. kuna mwaka flan wanafunzi wa kiume wa mabweni yaliyoko kigamboni waliandamana na mabango wakiitaka serikali iwasadie na wapewe ulinzi sababu wanabakwa na wavuvi huko mwabwenini mwao. nlipoikia hivi nilisikitika sana kuwa wanafunzi wa IFM na vyuo vingine wanaoishi huko Kigamboni wanataka serikali iwasaidie wasiwe wanabakwa....WANAUME WANAANDAMANA KUPINGA KUBAKWA???????????????? MIAKA YETU hili jambo ilikuwa ngmu kusikia kwa sababu huyo mbakaji angekutwa ametengenishwa viungo vyote mwilini vimesambazwa chini kila kiungo sehemu yake

2. juz juz hapa nimeshangaa jamaa anaenda polisi kuomba wamsaidie kuwa mkewe anagongwa. tena kaenda na mkewe kushtaki kuwa kuna lijamaa linamla mke wake linavyotaka n.k akasindikizwa na mkewe ili kushtaki.polisi walikuja kusikitika sana kuwa wanafikia hatua wanadumazwa sana. kisa jamaa anawekwa mjini na huyo dada ambaye anapata pesa kwa wanaume n.k so jamaa inabidi awe mpole sometime ana mdrive mkewe kumpeleka kwa wanaume.amekuwa tu kama shoga ake. MIAKA YA KWETU huyo mwanamke tungemwacha na kuvuta mtoto mwingine mbiichi kigoli kabisa

3. miaka ya sasa wanaume walalamishi kwa kila kitu na wanajikuta tu wnalishwa na kunyweshwa mambo ya ajabu ajabu wakiambiwa yanaongeza nguvu za kiume....zaman tulikuwa tunahangaika namna ya kuzipunguza na ndo maana tulikuwa tunaoa mabint wakali hata 20 na tunawagongelea msumali hasa....

haya ni baadhi ya mambo ambayo nimeyaona yna tofau sana kati ya kizazi chetu cha slash na kizazi hiki cha dot com.
 
Wazee wa Zamani bwana..kwa hiyo unataka turudi enzi zenu?? Kuna mambo mengine hayawezekani..Changamoto ni nyingi katika maisha ya sasa ukizingatia tunaishi katika ulimwengu wa utandawazi
 
Mkuu sijaelewa bado POINTI YAKO kwenye hii thread, watu wanabakwa wasiseme sio,mtu anagongewa mkewe na yeye hana ubavu wa kupambana asiseme???
 
Mkuu sijaelewa bado POINTI YAKO kwenye hii thread, watu wanabakwa wasiseme sio,mtu anagongewa mkewe na yeye hana ubavu wa kupambana asiseme???
Kama hana uwezo wa kumuhami asigongewe anamwachia mgongaji kwakuwa ndio mwenye nguvu za kumgonga.
 
yaani mwanaume unabakwa? nyie kizazi cha sasa mna matatizo sana. mnaandamana wanaume kuwa mnafi..wa?

Mkuu sijaelewa bado POINTI YAKO kwenye hii thread, watu wanabakwa wasiseme sio,mtu anagongewa mkewe na yeye hana ubavu wa kupambana asiseme???
 
kwa hiyo wewe mwanaume unabakwa unaenda kulalamika polisi? au hujaelewa kuwa hao wanaolalamika ni wanaume?

Mkuu sijaelewa bado POINTI YAKO kwenye hii thread, watu wanabakwa wasiseme sio,mtu anagongewa mkewe na yeye hana ubavu wa kupambana asiseme???
 
Back
Top Bottom