figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,717
- 55,819
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiwa katika mgodi wa Nyakavangala uliopo katika Kata ya Malengamakali Mkoani Iringa wakati wa Juhudi za kuuokoa mwili wa marehemu Viskadi Nyenza aliyetumbukia katika shimo wakati shughuli za Uchimbaji zilipokua zikiendelea.
