Mkesha haramu Dodoma, je sheria zimebadilika?

Mkesha haramu Dodoma, je sheria zimebadilika?

kunze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Posts
400
Reaction score
472
Wana jamvi...Leo nimestaajabishwa na kusikia maiki mkubwa, kelele na matusi makubwa na yasiyofaa kwenye bar moja iitwayo Platinum Dodoma muda wa saa sita au saba hivi nikadhani nimeamka asubuhi kumbe saa saba kasoro robo usiku,

Je sheria za mkesha ni tofauti na Dar ya Makonda? Najiuliza ili nipate majibu

Mwenye ufahamu zaidi anijulishe
 
Itakuwa polisi wapo doria eneo tofauti ila watapitia tu hapo
 
Huko hamna upinzani, ni full kujiachia kabisa.
 
Back
Top Bottom