Habari kuhusu Rais Dr. John Magufuli na Prof John Thornton ya Dar na London zimetofautina kwanini?

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,323
Vyombo vya Habari vimeripoti taarifa tofauti kuhusu ujio wa boss wa Barrick kutoka canada akiwa na mwenyeji wake Rais Dr John Magufuli.

Vyombo vya habari vya London vimekanusha habari ya Acacia kukubali kulia pesa wakati vyombo vyeti nchini vimeripoti kuhusu Acacia kukubali kulipa pesa.

Kwanini habari hizi zimetofautiana sana na kuleta sintofahamu kwa jamii hasa ya wale wenye uwezo wa kapata habari za Nje ya nchi??
 
nipashe-11.gif
 
  • Thanks
Reactions: isl
Vyombo vya Habari vimeripoti taarifa tofauti kuhusu ujio wa boss wa Barrick kutoka canada akiwa na mwenyeji wake Rais Dr John Magufuli.

Vyombo vya habari vya London vimekanusha habari ya Acacia kukubali kulia pesa wakati vyombo vyeti nchini vimeripoti kuhusu Acacia kukubali kulipa pesa kwa.

Kwanini habari hizi zimetofautiana sana na kuleta sintofahamu kwa jamii hasa ya wale wenye uwezo wa kapata habari za Nje ya nchi??
Huyo mwandishi wa uingereza alikuwepo pale IKULU?
 
Vyombo vya Habari vimeripoti taarifa tofauti kuhusu ujio wa boss wa Barrick kutoka canada akiwa na mwenyeji wake Rais Dr John Magufuli.

Vyombo vya habari vya London vimekanusha habari ya Acacia kukubali kulia pesa wakati vyombo vyeti nchini vimeripoti kuhusu Acacia kukubali kulipa pesa kwa.

Kwanini habari hizi zimetofautiana sana na kuleta sintofahamu kwa jamii hasa ya wale wenye uwezo wa kapata habari za Nje ya nchi??
Amini maneno aliyoyasema Prof. Thornton kwa kinywa chake mbele za media baada ya mazungumzo ya Ikulu. Kwani kila mmoja alimsikia and we have the mind of our own sio lazima kila kitu tusaidiwe tafsiri.
 
Kizungu kinazingua, they caught him wrong. Watalipa kama kuna cha kulipa baada ya kufanya reconciliation. Not basing on exaggerated stories
Might be ni kweli lugha inaweza kuwa ni shida.
 
Back
Top Bottom