Uhakiki mpya watumishi idara za Afya na Elimu kutumia mfumo wa NIDA umewadia

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,600
3,648
Watumishi wote wa umma wa idara za Afya na Elimu kuhakikiwa tena kwa kutumia mfumo wa NIDA. Zoezi hilo litaanza mwishoni mwa mwezi wa July 2017

Mtumishi utatakiwa kuwasilisha vitu vifuatavyo:-
1. Kitambulisho chako cha NIDA
2. Salary slip
3. Kitambulisho cha kazi chenye picha yako

CHANZO: Barua ya siri ya KM- UTUMISHI yenye maelekezo hayo iliyochapishwa tarehe 8/6/2017
 

Attachments

  • DOC-20170613-WA0002.pdf
    1.8 MB · Views: 70
Sina hamu tena na utumishi wa umma, nimeamua kujiongeza zaidi ili after 5years nisepe zangu mtaani kusimamia Kampuni yangu tu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Teh teh teh
Adui wetu wa maendeleo Tanzania
1. CHAMA CHA MAPINDUZI
2. UJINGA
3. MARADHI
4. UMASIKINI
Teh teh teh teh Acacia haikusajiliwa lkn serikali ya dhuluma na wezi bado inapokea kodi na pia kampuni bado inachimba.
CCM NI CHANZO CHA UMASIKINI NI WAKUCHOMA MOTO WOTE. HUYU MLEVI ALIKUWA KWENYE FRONT SEAT AKIGONGA MEZA HUKU USO NA MIDOMO YAKE KAPANUA HUKU AKISEMA NDIYO NDIYO NDIYO BAADA YA HAPO AKAUZA NYUMBA, AMEINGIA TU KAFUTA AJIRA, HAJAKAA SAWA KATAFUNA RAMBI RAMBI
EH! Hiyo ndiyo ccm ya walevi
 
Duuu...aisee hapo sasa ndo nimeelewa maana ya msemo Wa "kampa , kampa tena".

Yaani wamehakiki weeeee...mwisho Wa siku wanakuja kuhakiki tena na vitambulisho vya NIDA duuu, naona dalili za kubaki watumishi wahakiki tu maana naona hapa nia sio kutafuta watumishi hewa ila kutafuta kupunguza watumishi waliopo.
Kama ishu ni malipo ,basi watangaze hata watu wataoweza kujitolea tu kuliko kuwa na tatizo la watumishi na bado unazid kuwachanja hao hao wachache waliopo, mwisho utajikuta umebaki mwenyewe tu.
 
Majuzi kati Yule waziri wa Elimu anasema wataanza kuhakiki ubora wa Elimu iliyopo kichwani kwa mfanyakazi wa Umma.
 
Back
Top Bottom