Mama mwenye watoto 38 Uganda sasa anatishiwa kuuawa na mumewe baada ya kuongea na waandishi

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,804
2,000
Mama huyo kutoka Uganda amelalamika vyombo vya habari kuingilia mambo yake ya ndani sana
Vyombo hivyo vimesema maneno mengi kuhusu mumewe ambayo siyo ya kweli na sasa mumewe amaemuambia atoe jina lake kwenye midomo ya watu la sivyo atamuua kutokana na waandishi wa habari kuweka chumvi kwenye mambo aliyoyasema
Amekuwa akipokea simu nyingi na ikiwemo wanaume wanaomtaka wakimuambia wamuoe ili wamsaidie kutunza watoto wake lakini yeye anasema haitaji mwanaume kwa sasa

Watoto 29 wapo shule ya msingi na 7 sekondari, ameamua kuwaweka shule moja sababu mkuu wake wa shule anamfahamu vyema na hawezi kuwafukuza wakikosa ada
Jumla ya karo zao kwa shule ya msingi ni dola 2850 kwa mhula

Chanzo: Azam news

 

natoka hapa

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
8,354
2,000
Aisee huyu mama noma
Mungu kampa baraka isiyo kifani, ila kuwalea ndio changamoto
 

Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
42,861
2,000
Mmmh aisee kazi ipo...hivi ndio huyo Mama nimesikia asipozaa anakufa au??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom