Unakumbuka nini miaka ya 90's kushuka chini?

Benaco

Member
May 17, 2017
57
125
Itifaki izibgatiwe,

Kuna mambo nmeyakumbuka wkt wa miaka 90's kuja 80's, kwanza kulala ilikuwa saa12 ukionekana nje umeumia. Sukari haikuuzwa dukani tulikuwa tunapanga foleni kununua sehemu fulani zinaitwa ugawaji. Tv mnatizama jumapili tu na ukiwa na TV lazima iwe na kibali.

Wewe unakumbuka nini?
 
tapatalk_1496431322888.jpeg

Nimemkumbuka huyo enzi hizo akiwa mwalimu wangu
 
Back
Top Bottom