Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457

Mkuu hiyo barua hapo juu wameonyesha sidaiwi kodi ya nyumaDu itakua ilitoka kabla ya budget mpya ya mwaka 2017/18 au pengine wanakudai na kodi ya nyuma. Ni vizuri ufike kwenye ofisi zao ukawaulize wakueleweshe vyema mkuu.
Hivi step za kulipia zinakwendaje ili upate hiyo karatasi maaana mara ya mwisho kulipa ilikuwa mwaka jana mwezi March katika ofisi ya kata ....sasa kwa TRA sijui inakuaje hapo?naomba nijuzehiyo nahisi itakua ya majengo ya biashara alafu katika hizo paper huwa ziko tatu isome ile ya mwisho uone imeandikwaje labda unaweza kuwa umepigwa na penati endapo ujalipa toka 2015,mimi kwangu wameleta pamoja na penati nadaiwa 30elfu
Mkuu mm wamenipa mbili ya pili ni barua tu alafu wameandika limbikizo la kodi ya nyuma ni sifuri na pia nyumba siyo ya biashara ni yakuishi tuhiyo nahisi itakua ya majengo ya biashara alafu katika hizo paper huwa ziko tatu isome ile ya mwisho uone imeandikwaje labda unaweza kuwa umepigwa na penati endapo ujalipa toka 2015,mimi kwangu wameleta pamoja na penati nadaiwa 30elfu
Yani hii serikali inakera sanaNchi ya kodi, nenda TRA wakupe ufafanuzi zaidi
Yaani ukishaezeka tu na kuweka grill mtu akawa anakaa ndani kulinda, unakutana na notice ya kodi ya jengoVigezo vya nyumba kulipiwa kodi ni vipi? kama haijakamilika, au imekamilika haikaliwi na mtu au inakuwaje
Yaani ukishaezeka tu na kuweka grill mtu akawa anakaa ndani kulinda, unakutana na notice ya kodi ya jengo
kwa mwaka ila inategemea na mkoa maana kuna sehemu nyingine ni 20,000 na hata zaidi ya hapoWatatuua kwa mtindo huo, so hiyo 10,000 ni monthly au annually
kwa mwaka ila inategemea na mkoa maana kuna sehemu nyingine ni 20,000 na hata zaidi ya hapo
Kwl haujaelewa....!! Yale ni mapendekezo ya bajeti.... kama yatakubaliwa na bunge sheria itaanza kufanya kazi julai mosi.... KWA SASA PAMBANA NA KODI YA NCHI....wakuu nimerudi kazini nakutana na barua kutoka TRA kulipa kodi ya majengo tatizo nyumba yangu ni yakuishi tu naambiwa nilipe 90000 juzi serikali si ilisema nyumba za chini ni elfu kumi hii 90000 inakuwa aje tena na mikoa mingine nayo ni hivi hivi au ni huku mwanza tu![]()
Duuuu mkuu pole sana soma paka mwisho kina sehemu wamesema tadhari usipo lipa kwa muda watakusanya kwa nguvuSi bora wewe Mimi Niko Tabora nililetewa kalatasi nikalipie 200,000
In nyumba kuishi tena sins hats mpangaji siendi kulipa nasubiri watakacho kuja kufanya