Tabia za mwanafunzi wa chuo

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
2,988
2,000
Aisee hawa watoto wa chuo tabia zao zinafafana nchi nzima ....

Tabia zao ni common kwa wote.

1.Wanatembea wakiwa wamevaa earphone mda wote na Mabegi mgongoni.

2.Wanavaa suruali chini ya makalio.

3. Wakizingumza lazima wachanganye kiingereza na kiswahili, hadi wanaume kuna maneno ya kipuuzi utakuta wanayatumia kama , "oooh my Gash".

4.Kuzungumza kwa kupiga kelele, yaani ukiwa nao shehemu za Public utachoka , usiombe iwe kwenye daladala, na story wanazopiga ni za realationship na matukio Birthday.

5. Ole wako usijikute umepanga nao nyumba moja, nyumba ilichukuliwa na mtu mmoja ila utashangaa kijiji kinahamia hapo!..Ukumbi wa birthday hapo hapo !Disco na kila kitu hapo hapo .

6. Wakitembea na jinsia mbili tofauti utachoka, mara washikane viuno , mikono , wapigane mabusu yanii ni karahaa tupu.

Mambo ni mengi kwa hawa watoto..sijui wenzangu unapata karaha hiyo hiyo.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
39,766
2,000
Aisee hawa watoto wa chuo tabia zao zinafafana nchi nzima ....

Tabia zao ni common kwa wote.

1. Wanatembea wakiwa wamevaa earphone mda wote.

2. Wakizingumza lazima wachanganye kiingereza na kiswahili, hadi wanaume kuna maneno ya kipuuzi utakuta wanayatumia kama , "oooh my Gash".

3.Kuzungumza kwa kupiga kelele, yaani ukiwa nao shehemu za Public utachoka , usiombe iwe kwenye daladala, na story wanazopiga ni za realationship na matukio Birthday.

4. Ole wako usijikute umepanga nao nyumba moja, nyumba ilichukuliwa na mtu mmoja ila utashangaa kijiji kinahamia hapo!..Ukumbi wa birthday hapo hapo !Disco na kila kitu hapo hapo .

5. Wakitembea na jinsiabili tofauti utachoka, mara washikane viuno , mikono , wapigane mabusu yanii ni karahaa tupu.

Mambo ni mengi kwa hawa watoto..sijui wenzangu unapata karaha hiyo hiyo.
Vipi wewe ulipita chuo? Ulikuwa na tabia hizo hizo na maneno ya kipuuzi kama ulivyosema?!!
 
EBBAH

Member
May 8, 2017
75
125
Ulimbukeni wa vijana tu..wengi wanaopata fursa za kufika chuo ni wagonga ulimbo..hivyo ndoto zao hutimia wakiwa vyuoni..sasa wanataka kujitofautisha na jamii ili wapate kuonekana kama wao ndio wasomi zaidi.Halafu unakuta mtu kiingereza kiiingi halafu anasomea degree mbuzi haina hata tija...wale wadada wasio na makuu..wenye sura za kawaida wasiorubunika unakuta wanasoma kozi ngumu ngumu zenye tija..utashangaa ukienda TRA ni nadra kuwakuta wadada wazuri wapo vitengo kwa sababu walitaka wasome kozi nyepesi vyuoni ili wapate muda mwingi wakutafuna bata maji pamoja na bata mzinga.
 
Punnisher

JF-Expert Member
Jul 28, 2014
789
1,000
Aisee hawa watoto wa chuo tabia zao zinafafana nchi nzima ....

Tabia zao ni common kwa wote.

1. Wanatembea wakiwa wamevaa earphone mda wote.

2. Wakizingumza lazima wachanganye kiingereza na kiswahili, hadi wanaume kuna maneno ya kipuuzi utakuta wanayatumia kama , "oooh my Gash".

3.Kuzungumza kwa kupiga kelele, yaani ukiwa nao shehemu za Public utachoka , usiombe iwe kwenye daladala, na story wanazopiga ni za realationship na matukio Birthday.

4. Ole wako usijikute umepanga nao nyumba moja, nyumba ilichukuliwa na mtu mmoja ila utashangaa kijiji kinahamia hapo!..Ukumbi wa birthday hapo hapo !Disco na kila kitu hapo hapo .

5. Wakitembea na jinsia mbili tofauti utachoka, mara washikane viuno , mikono , wapigane mabusu yanii ni karahaa tupu.

Mambo ni mengi kwa hawa watoto..sijui wenzangu unapata karaha hiyo hiyo.
acha kuwafananisha wanachuo na vitu vya ajabu ajabu......
 
eisoma

Member
Jun 10, 2017
23
75
Aisee hawa watoto wa chuo tabia zao zinafafana nchi nzima ....

Tabia zao ni common kwa wote.

1. Wanatembea wakiwa wamevaa earphone mda wote.

2. Wakizingumza lazima wachanganye kiingereza na kiswahili, hadi wanaume kuna maneno ya kipuuzi utakuta wanayatumia kama , "oooh my Gash".

3.Kuzungumza kwa kupiga kelele, yaani ukiwa nao shehemu za Public utachoka , usiombe iwe kwenye daladala, na story wanazopiga ni za realationship na matukio Birthday.

4. Ole wako usijikute umepanga nao nyumba moja, nyumba ilichukuliwa na mtu mmoja ila utashangaa kijiji kinahamia hapo!..Ukumbi wa birthday hapo hapo !Disco na kila kitu hapo hapo .

5. Wakitembea na jinsia mbili tofauti utachoka, mara washikane viuno , mikono , wapigane mabusu yanii ni karahaa tupu.

Mambo ni mengi kwa hawa watoto..sijui wenzangu unapata karaha hiyo hiyo.
Hahahaaa mku kama ulikwa na mimi yaani natoka kazini na mwenzangu tukapita chuo flani mara tukaona wanachuo wanatembea wamekumbatiana njian. Nikamwambia jamaa umeyaona hayo ndo mapenzi ya chuo. Afu kila mwanachuo anasemaga kwa mboga saba afu kwa wasichana wengi wao utaskia anasema anatokea Dar kumbe kwao huko mikoani vijijiini
 
NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
28,028
2,000
Kumbe level ya chuo kuna raha!! ngoja nijikakamue nimalize kwa ufaulu mzuri darasa langu hili saba, niende vidatano halafu chuo na mie nika enjoy huko!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom