JK anaenda Hijja Suudia mwaka huu 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK anaenda Hijja Suudia mwaka huu 2012

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sam Seaborn, Oct 16, 2012.

 1. S

  Sam Seaborn Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa jina la Allah (SW) Mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo. Kuna taarifa kuwa Rais wetu mpendwa Dr Jakaya Mrisho Kikwete akijaaliwa uzima na Uhai Inshallah atajumuika na mahujaji wengine waliotangulia kula Suudia (Saudi Arabia).

  Sasa sina hakika kama habari hizi zina ukweli lakini kama waaminivyo waislam kuwa Hijja ni mpaka uitwe ndio maana utakuta majajiri na marais wengi tuu waislam lakini hawajawahi kwenda hijja.

  Mimi namuomba Allah amjaalie safari njema, na pia ingependeza zaidi akawachukua na wanae na hususana yule Ritz maana mahasidi wamemzunguka na mitihani ya kila namna na kila kukicha.

  Hili ni jambo la kheri na nawatakia safari njema na Allah awafanyie wepesi kwenye mambo yao yoote.

  Amin.
   
 2. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Aaamin. Inshaallah.
   
 3. S

  Saracen Senior Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hivi akirudi yeye hupewa maji ya zam zam tani ngapi?

  maana yule rais hawezi kurudi na vijigaloni viduchu viduchu. Na pia tuombe asisahau kumchukua na ankal Mtawa na bwana Miraji
   
 4. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mbona habari imekaa kimajungu na kinafiki?
   
 5. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,795
  Trophy Points: 280
  Imeandikwa kapatane na nduguzo kwanza ndio uje kwangu!! wana wa nchi wanakaribia kupigana wao kwa wao kule mbagala halafu kabla zogo halijaisha wenda kuhiji,SWALA ITASWIHI?
   
 6. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,789
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  achukue na mafisadi wote labda watasafika na kurudisha walichoiba, pia asisahau zile suti alizohongwa, arudishe asije akafia huko!
   
 7. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hapa kama unafki unahusika
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Sasa ataitwa; AL HAJI DR GENERALI Ph.D PRESIDENT Jakaya Mrisho Kikwete, ESQ
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Kuhiji nako ni unafiki? Aaamin. Inshaallah. Ngoja niagize kikombe cha gahawa nitafakari
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Anataka title iongezeke, kama kweli ameitwa kwenda hijja kheri na iwe kwake
   
 11. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,632
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  Si kweli kuwa Kufanya HAJJ mpaka ALLAH akuite huu ni upotoshaji na kutojua uislam unasemaje ila HAJJ anafanya muislam yeyote kwa sharti la kuwa na uwezo (kifedha na kiafya)

  achana na habari za kuzulia watu kwenye imani zao eti mi "nijuavyo" wakati Huna uhakika
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Titles za nini wakati una-retire???
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ili akifa wa mention titles nyingi,
   
 14. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Haya mnaanza tena mabishano yale yale ya 'kujolea Kurani'!!!! Visasili vya imani za Kiislamu vitakuja kusababisha watu kutoana ng'eo.
   
 15. s

  salmar JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 782
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Kama ni ukweli basi allah ampe khatua na amkubalie hijjah yake
   
 16. s

  salmar JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 782
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Kama ni ukweli basi allah amkubalie hijjah yake
   
 17. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Aaamin. Inshaallah!!!!!!
   
 18. M

  Msela jela Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha
   
 19. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  DOKTA WA MAGUMASHI ANAENDA HlJA YA MAGUMASHI NA ATAKUWA AL HAJ WA MAGUMASHI.
   
 20. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Kama ni kweli, kila la kheri na Mwenyezi Mungu amwongezee maarifa na ufahamu wa kujibu maswali kwa hekima bila ya jazba.
  Mwenyezi Mungu amuongoze katika njia ilionyooka, auchukie UFISADI na MAFISADI wote (hata kama ni mtoto wake) awafikishe katika vyombo vya sheria.
  Mwenyezi Mungu amuongezee nguvu na awashinde mafisadi
   
Loading...