Wakuu hususani nyie wajuvi wa ikonomiki na uchumi kutakuwa na athari zozote kiuchumi mathalani kila mtu akigaiwa Tzs Milioni Mbili, Je zoezi hilo litacompromise mzunguko wa fedha anyhow?
Anxious...
"kila siku inapofika mikononi mwako ifanye kama ndio siku yako ya mwisho katika dunia"
Hii inamaana gani,maana steve jobs mbunifu wa model ya apple devices,alipenda kuitumia na je,ina mchango...
Wakuu tukumbushiane kidogo hapa kauli za wanasiasa wetu zilizowahi kubamba,kama unayo nyingine tupia hapa tucheke kidogo tupunguze stress za kulisukuma gurudum hili zito la maendeleo,hz ni za...
Habari ya wakati huu wakuu.
Naomba niwakumbushe ndugu zetu wazanzibari kua pamoja na kua nyie ni ndugu zetu ila mnatakiwa kutambua kua madini na gesi sio sehemu ya makubaliano ya muungano, hilo...
Hello Gentleman and ladies naomba kama kuna mtu mwenye link ya mahubiri ya leo anitumie please. Ameongea vizuri sana kuhusu Gaddafi na Saddam Hussein .ABARIKIWE
Ivi ninini kingetokea endapo vyombo vya habari vingeendelea kuwa guru kama wakati wa awamu za NNE kurudi nyuma , bunge lingeendelea kuwa live, mikutano ya kisiasa ingeendea kama katiba inavyosema...
Kwamasikitiko makubwa ninaungana na wasamaria wema wanaopinga vikali kitendo walicho fanyiwa walemavu jana jijini Daresalaam
Polisi waliowapiga hawa nduguzetu wametii agizo la mtu ambae anadhani...
Kuna wakati humu JF nilitoa ushauri kwa Prof Muhongo kwamba ili kuepukana na tatizo la umeme nchini, aache kabisa kuiingiza Tanzania kwenye mikataba midogo midogo ya uzalishaji umeme chini ya...
Hizi programme za serikali kusema haifukui makuburi, kwa kuwaacha walaji wa billions of money wanakula bata tu mtaani kwanini basi makaburi yetu ya HESLB yanafukuliwa.... tena kwa nguvu kubwa na...
Tupac Amaru Shakur alizaliwa tarehe16 Juni 1971 na kufariki tarehe13 Septemba 1996 katika jiji la Las Vegas Nevada baada ya baada ya gari yao kushambuliwa kwa risasi akiwa na Marion "Suge" Knight...
Wanafunzi wanaosoma vyuo vikuu nchini wamesema wanapenda kufanya kazi zenye nafasi za juu zinazoendana na fani wanazosomea kama vile ukurugenzi, umeneja au uofisa wa kitengo fulani katika kada...
Najiuliza tu, sijui hasara yake lakini nawaona hawa ni watu ambao kwa kiasi fulani wanauelewa na migodi ya Tanzania. Wakijumuishwa kwenye kamati kuna hasara gani kwa CCM?
Singida. Aliyekuwa Ofisa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania Tawi la Singida na mkazi wa Kibaoni mjini hapa, Elihuruma Emmanuel (46), amehukumiwa kifungo cha miaka sita kwa wizi wa Sh 1.7 milioni...
Dada mmoja mjini Bukoba akiwa hajielewi kwa kile kilichompata, ajikuta hana sehemu zake za siri (Nyeti Zake) baada ya kulala na mwanaume msukuma katika nyumba ya wageni ya Super star hamugembe na...
Gazeti la Raia mwema la leo limeandika kuwa watumishi waendelee kusubiri matokeo ya rufani zao.lakini inawezekana kuna kaupepo kamebadlilsha mambo watumishi jiandae kuchekelea.kama haukukata rufaa...
Yapo mkoani NJOMBE
Yanauzwa pamoja na Ardhi
Lipo lenye Miti aina ya crutus( mlingoti) ambayo inatumika kwa milunda,nguzo za umeme na mbao linaukubwa Wa ekar moja na nusu na bei ni milion 3
Na...
Hivi hawa watu vipi?...Wao ndo walisaini mikataba alafu wao ndo wanaikandamiza.Sasa wakitaka tukubaliane nao....basi waombe fidia yetu au wa wajibishe waliotoa ruksa hii mikataba isainiwe...sio...
Ile oparesheni ya kutokomeza uwepo wa makahaba na madanguro iliyoanza kwa kasi sijui imeishia wapi, sasa imekuwa tabia ya washika doria kupita maeneo yote yenye hii biashara
a usiku na kukusanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.