Paspoti yangu ime-expire

Paspoti yangu ime-expire

Mdanganywa

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Posts
620
Reaction score
343
Wakuu,

Muda wa paspoti yangu umeisha na hivyo nataka ku-renew.

Je, nitakapoenda pale Mamb ya ndani nahitaji kukamilisha amambo gani ili nipatiwe paspoti nyingine?
 
Wakuu,

Muda wa paspoti yangu umeisha na hivyo nataka ku-renew.

Je, nitakapoenda pale Mamb ya ndani nahitaji kukamilisha amambo gani ili nipatiwe paspoti nyingine?
Mwanzoni uliletewa au ulifuatilia mwenyewe. Nahisi hakuna kilichobadilika mahitaji ya awali ni yaleyale
 
kwani unashida nayo sana?? Mi nakushauri achana nayo, fanya mambo ya maana tu kwa sasa.
 
Siku hizi uki renew Passport ni Kama unaomba upya. Nenda na viambatanisho vyote ulivyotumia mara ya kwanza
 
Back
Top Bottom