Unamfahamu Mnyama Panda?

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,708
2,000
Habari za Asubuhi wadau Tumshukuru Muumba tumeamka salama,Tukiwa kwenye mapumziko na wengine tukijiandaa kwenda ibadani na wale tuliofunga Nimeona weekend yangu leo Nianze kwa Huyu Mnyama Adimu Duniani ambae wengi Hatumfahamu nadhani hapa kwetu hawapo. Ahsanteni Asbh njema….

.
upload_2017-6-18_11-39-57.png
upload_2017-6-18_11-41-31.pngPanda ni wanyama wanapatikana kwa wingi kusini mwa China.

Unaweza kuwatambua kwa madoa yao yenye rangi nyekundu na nyeusi yaliyozunguka mwili wao.

Panda anafika urefu mpaka mita1.9 na kg 110 mpaka115 kwa wanaume inaweza fika mpaka 160.

Wanafanana na paka kwa mwonekano wao ila wana tabia kama za nyani na ngedere.

Kuna aina mbili za Panda( weupe na weusi, na wekundu) ,hutofautishwa na majina Tu: Red Panda and Giant Panda,walio wengi ni Black and white.

upload_2017-6-18_11-41-47.png
Wapo kwenye kundi la Carnivora ila 99% ya chakula wanachokula ni Bamboo pia hawana simile na hii misosoi kama majani,nyama pia ukiwapa mayai,samaki magimbi,machungwa ndizi wanapokea na kula.

Panda anabalehe akifikisha umri kati ya miaka 4 mpaka 8. Kipindi cha March na May ndio kipindi ambacho Panda huwa wanafanya mchezo mbaya kwa muda wa siku 3 mpaka 4,Hiii hutokea mara moja kwa mwaka.

Wanafanyaje tendo la ndoa?

Hawana tofauti sana na Paka,wa kike huwa anatambaa chini taratibu huku akijiweka tayari tayari mara nyingi kichwa huwa wanainamisha chini kama Kuku Hapo kidume akiona kichwa chini anawahi kudandia kwa nyuma huku akiwa amemkumbatia jike( hii ni muhimu sana kwa fertilization).

Panda sio wa mchezo mchezo,Tendo lando ni kuanzia sekunde 30 mpaka dk.5 ndio ndio anaridhika! Na anaweza kuendelea hata Zaidi ya hapo akihisi fertilization bado.

upload_2017-6-18_11-42-11.png


Maajabu ya kuzaliana!

Panda huwa anazaa mapacha lakini cha kusikitisha mmoja lazima afe anabaki mmoja,unajua kwa nini?

Panda hana uwezo wa kuhifadhi chakula kama wanyama wengine,hivyo ana uwezo wa kulisha panda mmoja Tu na hata baba Panda yeye hana uwezo wa kutafuta chakula kwa ajili ya Panda hivyo basi kinachofanyika Mama Panda anaangalia kati ya wale panda aliozaa yupi Strong ndio anaaza kunyonyesha! Yule weak huwa anajifia Tu.

Panda anazaliwa na rangi ya pink,kipofu na pia anakuwa kibogoyo akiwa na kilo kuanzia 90 mpaka 130.

Panda wanapenda sana kucheza na watu lakini pia wana aibu sana anapendelea kuwa peke yake peke

yake Tu.

>Unajua kama Panda huwa anacheka kama Binadaamu? Asubuhi njema.....

.
upload_2017-6-18_11-42-50.png
 

Attachments

Ubavu

JF-Expert Member
Jun 19, 2012
2,788
2,000
Nawapenda sana... Ila sasa usiingie kwenye anga la grizzly bear..!
Sie conservationist tunawaita flagship organisms.. Very charismatic!
 

Maxmizer

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
4,824
2,000
asante. Sijaridhika unaposema panda anazaliwa akiwa na kilo 90 hadi 130. ufafanuzi pleas, ni uzito mkubwa sana huu kwa kiumbe kinachozaliwa
Nadhani utakua umemwelewa vibaya alimaanisha panda huwa ƙibogoƴo aƙiwa na kilo 90 had 130

Anazaliwa aƙiwa na rang ƴa pink na anakua kipofu
 

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,708
2,000
asante. Sijaridhika unaposema panda anazaliwa akiwa na kilo 90 hadi 130. ufafanuzi pleas, ni uzito mkubwa sana huu kwa kiumbe kinachozaliwa
Sorry Anazaliwa na gram 100 mpaka 200 na urefu centimeter 15mpaka 17 Hizo siku 90 mpaka 130 Ni period Ranges yaani kipindi cha Mimba samahani kwa usumbufu uliojitokeza.
 

Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,037
2,000
Sorry Anazaliwa na gram 100 mpaka 200 na urefu centimeter 15mpaka 17 Hizo siku 90 mpaka 130 Ni period Ranges yaani kipindi cha Mimba samahani kwa usumbufu uliojitokeza.
hapo safi. asante kwa kutujuza
 

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,708
2,000
Kuna tofauti gani kati ya Hawa panda na Bear
Nitakueleza kidogo ninavyofahamu: Panda na Bear wote ni Carnivoras na wote wanakula Bamboo,tofauti yao kubwa kwanza Umbile lao wanafikia mpaka kilo760 urefu 150cm na wana nguvu sana pia wanaweza Kupanda kwenye miti hata kuogelea pia tofauti na Panda.Wanapatikana wengi maeneo ya American na hata Asia.
upload_2017-6-18_14-8-24.jpeg
upload_2017-6-18_14-8-38.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom