Nipo maeneo ya Nzega Stand, watu wanapiga Picha na Jimmy Master kwa 2000 kila kichwa

flagship

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,641
1,188
Jamaa wamekataza MTU kuwapiga Picha kwa simu so sijajua kuwa wanaogopa au VP.Magu anapata vipi kodi hapa?

J PLUS, Jimmy Mponda 'Master', ni bingwa wa fani ya mapigano aliyejizolea sifa kwenye filamu za mapigano zikiwemo mfulilizo wa filamu zake za Misukosuko katika tasinia ya Bongo Movie.
 
Jamaa wamekataza MTU kuwapiga Picha kwa simu so sijajua kuwa wanaogopa au VP.Magu anapata vipi kodi hapa?
Je ni halali kwa watu maarufu kupiga Picha na mashabiki kwa pesa?Nilitamani kutuma Picha lakini Jamaa wametoa kauli za vitisho.
 
Jf imeingiliwa na wasio jua kusoma na kuandika Jeblass ndo nani?
Sijui kusoma wala kuandika lakini maandishi umeyaona kisha ukajua ni maandishi then ukatokwa na povu.Kuna Jamaa anaitwa Jimmy Mponda aka Jeblass muigizaji wa filamu iendayo kwa Jina la Misukosuko.Amekusanya umati na kutangazia umma kupiga naye Picha ni tshs 2000 kwa atakayetaka.
 
Hakuna mtu anaitwa Jeblass Tanzania, hebu tutolee ufinyu wako hapa
 
Back
Top Bottom