Hivi madawa ya kulevya yakikamatwa kwanini huwa hayateketezwi hadharani kama ilivyo bangi?

Mbassa jr

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
1,039
2,000
Habari wana jf
Hili swala nimekuwa nikijiuliza mara nyingi na ni kwasababu sijawahi kushuhudia madawa ya kulevya (unga) ukiteketezwa hadharani kama vilivyo vitu vingne hatarishi kama bidhaa zilizopitwa na wakati,mashamba ya bangi kuchomwa moto na wakati mwngne hadi na silaha haramu pia huchomwa moto hadharani!
Lakini kwanini sio madawa ya kulevya?? Je huwa yanapelekwa wapi baada ya kukamatwa ?? Ama serikali kuna mapato inaingiza kwa kuyauza kwa wazee wa unga?? Na kama sivyo huwa wanayateketezaje????
Nawasilisha.
 
white hat

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
3,335

kuna mtu nilimuuliza hilo swali akasema huwa zinatumika kama nusu kaputi kwenye baadhi ya operation na maabara kwenye baadhi ya practical ila sina uhakika kabisa na hayo maelekezo yake naona watakuwa wanarudisha mtaani kimyakimya maana mapusha hawajawahi kukosa hizo mambo wao wanauza tu utazani wana kiwanda
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,027
2,000
Ni punguani pekee atakaeteketeza ile kitu. Hiyo wameshindwa kuipa hadhi ya nyara za serikali tu, kama zilivyo pembe za ndovu. Pembe za ndou wanasema biashara yake ni haramu lakini wanazihifadhi, tena kwa ulinzi na gharama ya juu
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,597
2,000
Habari wana jf
Hili swala nimekuwa nikijiuliza mara nyingi na ni kwasababu sijawahi kushuhudia madawa ya kulevya (unga) ukiteketezwa hadharani kama vilivyo vitu vingne hatarishi kama bidhaa zilizopitwa na wakati,mashamba ya bangi kuchomwa moto na wakati mwngne hadi na silaha haramu pia huchomwa moto hadharani!
Lakini kwanini sio madawa ya kulevya?? Je huwa yanapelekwa wapi baada ya kukamatwa ?? Ama serikali kuna mapato inaingiza kwa kuyauza kwa wazee wa unga?? Na kama sivyo huwa wanayateketezaje????
Nawasilisha.

Masahihisho kidogo Mkuu. Katika Kiswahili Sanifu hakuna neno Madawa bali kuna neno Dawa hata kama unawasilisha uwingi wake. Hivyo ulitakiwa useme dawa za kulevya na siyo madawa ya kulevya. Nakipenda sana Kiswahili chenu halafu huwa nasikitika hadi kuumia pale nikiona Mimi Mgeni hapa nchini Kwenu Tanzania nakijua Kiswahili kuliko nyie wenye lugha na nchi yenu.
 
Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
1,738
2,000
Ni punguani pekee atakaeteketeza ile kitu. Hiyo wameshindwa kuipa hadhi ya nyara za serikali tu, kama zilivyo pembe za ndovu. Pembe za ndou wanasema biashara yake ni haramu lakini wanazihifadhi, tena kwa ulinzi na gharama ya juu
Tutauza tukikumbwa na njaa ili zinufaishe wote.
 
Mbassa jr

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
1,039
2,000
kuna mtu nilimuuliza hilo swali akasema huwa zinatumika kama nusu kaputi kwenye baadhi ya operation na maabara kwenye baadhi ya practical ila sina uhakika kabisa na hayo maelekezo yake naona watakuwa wanarudisha mtaani kimyakimya maana mapusha hawajawahi kukosa hizo mambo wao wanauza tu utazani wana kiwanda
Mi hadi leo hii sijapata jawabu
 
Mbassa jr

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
1,039
2,000
Ni punguani pekee atakaeteketeza ile kitu. Hiyo wameshindwa kuipa hadhi ya nyara za serikali tu, kama zilivyo pembe za ndovu. Pembe za ndou wanasema biashara yake ni haramu lakini wanazihifadhi, tena kwa ulinzi na gharama ya juu
Hata mimi nashangaa na ndo mana vita yake ni ngumu sana kuisha
 
Mbassa jr

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
1,039
2,000
Masahihisho kidogo Mkuu. Katik Kiswahili Sanifu hakuna neno Madawa bali kuna neno Dawa hata kama unawasilisha uwingi wake. Hivyo ulitakiwa useme dawa za kulevya na siyo madawa ya kulevya. Nakipenda sana Kiswahili chenu halafu huwa nasikitika hadi kuumia pale nikiona Mimi Mgeni hapa nchini Kwenu Tanzania nakijua Kiswahili kuliko nyie wenye lugha na nchi yenu.

Cc uhamiaji
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom