Angalia ni lini huyo mtumishi alihitimu kidato cha nne alaf toa miaka 11 au 12 yaani miaka ya elimu ya msingi na sekondari hapo utawakamata tu maana wengine ukipiga hiyo hesabu utakuta walianza shule kabla hawajazaliwa...mfano mtu kahitimu form 2003 alaf cheti cha kuzaliwa kinaonesha 1990 ina maana huyu alianza la kwanza akiwa na miaka 2.