Utapeli ambao unatumika Arusha na maeneo mengine kuhusu mafundi kuwaibia wajenzi

jembejembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
534
1,000
Kwa watanzania wote wajengao,kuna mchezo mchafu unaofanyika katika viwanda vya mabati au wakala wao ambapo wauzaji na mafundi hushirikiana kwa pamoja kumwibia mteja kwa mbinu hii…, fundi anapopima vipimo vya mabati huwa wanakuwa na vipimo halisi (halali)na vingine feki(alizoongeza kwa kila pc ya bati) mara nyingi huongeza nusu mita(sentimita 50 hadi 70) hivyo anapokwenda kufanya manunuzi au kutoa oda kwenye viwanda ama wakala wa kiwanda huwa na karatasi mbili, ile feki yenye vipimo vilivyoongezwa ndio humpatia mwenye nyumba ambapo mara nyingi mafundi hao huwa wameshaongea na wahusika ktk katika kiwanda au wakala na humlazimisha mwenye nyumba kufanya manunuzi mahali alipokusudia kufanya uhalifu huo(uwizi)hivyo vipimo vilivyoongwezwa mita ndio hupigiwa mahesabu.

Mfano kwenye oda anapigiwa mahesabu ya mita 560 mara bei waliyopatana,hivyo mteja hulipia mita 560,baada ya mteja kuondoka,fundi huleta vipimo halisi. Mfano ni 480,hivyo ile tofauti basi hupigiwa hesabu mara bei na kugawana fedha hizo, ambapo kwakweli ukiangalia tofauti huwa ni kubwa sana huwa ni kati ya mita 70 hadi mita 120 kulingana na ukubwa wa nyumba,na bei kwa mita mara nyingi ni kati ya 12000 kwa mita hadi 11500 kwa mita.

Hivyo ukizidisha mara hizo mita,hujikuta fedha unazopoteza ni gharama za kumlipa fundi.

USHAURI: Kila mwenye kujenga ama mwenye kununua mabati haswa haya ya kukatwa kwa mita, hakikisha unakuwa na kopi ya vipimo ambayo fundi amekupa na unapokwenda kuchukua bidhaa yako hakikisha unapima kila pc kulingana na kopi uliyonayo. Hakikisha bati zisipigwe hadi uhakiki.

Tuma ujumbe huu kwa kila group umuokoe mtanzania mwenzako katika ubadhirifu huu unaofanywa na mafundi wengi wa kupaua nyumba wakishirikiana na wenye kuuza mabati kwa kisingizio eti "matajiri wanatubana kwenye malipo"
 
Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,391
2,000

Bado atatoa risiti ya TR kwa malipo uliyolipia. Tafuta kijana au ndugu msomi uende nayo na kupakia ulichonunua.
 
ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
11,785
2,000
yote haya kayataka sizonje..... legeza uzi huo watu tuache kuamka na mbinu mpya za wizi kila siku
 
valet de chambre

JF-Expert Member
Mar 12, 2017
509
500
Kwa watanzania wote wajengao,kuna mchezo mchafu unaofanyika katika viwanda vya mabati au wakala wao ambapo wauzaji na mafundi hushirikiana kwa pamoja kumwibia mteja kwa mbinu hii…, fundi anapopima vipimo vya mabati huwa wanakuwa na vipimo halisi (halali)na vingine feki(alizoongeza kwa kila pc ya bati) mara nyingi huongeza nusu mita(sentimita 50 hadi 70) hivyo anapokwenda kufanya manunuzi au kutoa oda kwenye viwanda ama wakala wa kiwanda huwa na karatasi mbili, ile feki yenye vipimo vilivyoongezwa ndio humpatia mwenye nyumba ambapo mara nyingi mafundi hao huwa wameshaongea na wahusika ktk katika kiwanda au wakala na humlazimisha mwenye nyumba kufanya manunuzi mahali alipokusudia kufanya uhalifu huo(uwizi)hivyo vipimo vilivyoongwezwa mita ndio hupigiwa mahesabu.

Mfano kwenye oda anapigiwa mahesabu ya mita 560 mara bei waliyopatana,hivyo mteja hulipia mita 560,baada ya mteja kuondoka,fundi huleta vipimo halisi. Mfano ni 480,hivyo ile tofauti basi hupigiwa hesabu mara bei na kugawana fedha hizo, ambapo kwakweli ukiangalia tofauti huwa ni kubwa sana huwa ni kati ya mita 70 hadi mita 120 kulingana na ukubwa wa nyumba,na bei kwa mita mara nyingi ni kati ya 12000 kwa mita hadi 11500 kwa mita.

Hivyo ukizidisha mara hizo mita,hujikuta fedha unazopoteza ni gharama za kumlipa fundi.

USHAURI: Kila mwenye kujenga ama mwenye kununua mabati haswa haya ya kukatwa kwa mita, hakikisha unakuwa na kopi ya vipimo ambayo fundi amekupa na unapokwenda kuchukua bidhaa yako hakikisha unapima kila pc kulingana na kopi uliyonayo. Hakikisha bati zisipigwe hadi uhakiki.

Tuma ujumbe huu kwa kila group umuokoe mtanzania mwenzako katika ubadhirifu huu unaofanywa na mafundi wengi wa kupaua nyumba wakishirikiana na wenye kuuza mabati kwa kisingizio eti "matajiri wanatubana kwenye malipo"
Mkuu hiyo ni kweli. Hata buguruni ukienda kununua mbao nenda na futikamba yako kamwe usikubali utumie futikamba yao walahi utalia!
 
kijani11

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
6,270
2,000
Tatizo sekta ya ujenzi umekumbwa na madalali maana siku hizi kuna watu si mafundi lakini wao ndio wamekuwa watu wa kati wa kushika kazi halafu watafute wajenzi hiyo yote inaongeza nafasi ya watu kuibia wengine maana anayeshika kazi si fundi baaadae atafute fundi waelewane ndio kazi ianze. Sasa huo mgao wa mapato ndio kupelekea huu upigaji wa mchana kweupe.
Tujitahidi kuwa makini na mafundi/watu tunaowapa kazi.
 
QUIGLEY

JF-Expert Member
May 23, 2015
27,386

Wanaotaka kujenga siku zote hujitakia matatizo, kwani huwa wanataka mafundi wa bei rahisi.
Mafundi wa bei rahisi siku zote ni wezi kwani hufidia walichopunjwa kwenye mapatano.
Kwani watu wasitumie kampuni au wataalamu wanaoheshimu taaluma zao.
Mleta uzi haelewi kitu, hakuna wizi mkubwa kwenye matirio kama dar.
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
10,448
2,000
Kwa watanzania wote wajengao,kuna mchezo mchafu unaofanyika katika viwanda vya mabati au wakala wao ambapo wauzaji na mafundi hushirikiana kwa pamoja kumwibia mteja kwa mbinu hii…, fundi anapopima vipimo vya mabati huwa wanakuwa na vipimo halisi (halali)na vingine feki(alizoongeza kwa kila pc ya bati) mara nyingi huongeza nusu mita(sentimita 50 hadi 70) hivyo anapokwenda kufanya manunuzi au kutoa oda kwenye viwanda ama wakala wa kiwanda huwa na karatasi mbili, ile feki yenye vipimo vilivyoongezwa ndio humpatia mwenye nyumba ambapo mara nyingi mafundi hao huwa wameshaongea na wahusika ktk katika kiwanda au wakala na humlazimisha mwenye nyumba kufanya manunuzi mahali alipokusudia kufanya uhalifu huo(uwizi)hivyo vipimo vilivyoongwezwa mita ndio hupigiwa mahesabu.

Mfano kwenye oda anapigiwa mahesabu ya mita 560 mara bei waliyopatana,hivyo mteja hulipia mita 560,baada ya mteja kuondoka,fundi huleta vipimo halisi. Mfano ni 480,hivyo ile tofauti basi hupigiwa hesabu mara bei na kugawana fedha hizo, ambapo kwakweli ukiangalia tofauti huwa ni kubwa sana huwa ni kati ya mita 70 hadi mita 120 kulingana na ukubwa wa nyumba,na bei kwa mita mara nyingi ni kati ya 12000 kwa mita hadi 11500 kwa mita.

Hivyo ukizidisha mara hizo mita,hujikuta fedha unazopoteza ni gharama za kumlipa fundi.

USHAURI: Kila mwenye kujenga ama mwenye kununua mabati haswa haya ya kukatwa kwa mita, hakikisha unakuwa na kopi ya vipimo ambayo fundi amekupa na unapokwenda kuchukua bidhaa yako hakikisha unapima kila pc kulingana na kopi uliyonayo. Hakikisha bati zisipigwe hadi uhakiki.

Tuma ujumbe huu kwa kila group umuokoe mtanzania mwenzako katika ubadhirifu huu unaofanywa na mafundi wengi wa kupaua nyumba wakishirikiana na wenye kuuza mabati kwa kisingizio eti "matajiri wanatubana kwenye malipo"
Sio kwenye bati tu unapigwa kwenye vifaa vyote ukiwa fala...mimi fundi akinipa hesabu yke namwambia nitamjibu then natafuta fundi wengine wanipe vipimo nilinganishe....site nakaba mwenyewe mwanzo mwisho mana na uzoefu wa vifaa vya ujenzi
 
metatron

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
555
500
Kwa watanzania wote wajengao,kuna mchezo mchafu unaofanyika katika viwanda vya mabati au wakala wao ambapo wauzaji na mafundi hushirikiana kwa pamoja kumwibia mteja kwa mbinu hii…, fundi anapopima vipimo vya mabati huwa wanakuwa na vipimo halisi (halali)na vingine feki(alizoongeza kwa kila pc ya bati) mara nyingi huongeza nusu mita(sentimita 50 hadi 70) hivyo anapokwenda kufanya manunuzi au kutoa oda kwenye viwanda ama wakala wa kiwanda huwa na karatasi mbili, ile feki yenye vipimo vilivyoongezwa ndio humpatia mwenye nyumba ambapo mara nyingi mafundi hao huwa wameshaongea na wahusika ktk katika kiwanda au wakala na humlazimisha mwenye nyumba kufanya manunuzi mahali alipokusudia kufanya uhalifu huo(uwizi)hivyo vipimo vilivyoongwezwa mita ndio hupigiwa mahesabu.

Mfano kwenye oda anapigiwa mahesabu ya mita 560 mara bei waliyopatana,hivyo mteja hulipia mita 560,baada ya mteja kuondoka,fundi huleta vipimo halisi. Mfano ni 480,hivyo ile tofauti basi hupigiwa hesabu mara bei na kugawana fedha hizo, ambapo kwakweli ukiangalia tofauti huwa ni kubwa sana huwa ni kati ya mita 70 hadi mita 120 kulingana na ukubwa wa nyumba,na bei kwa mita mara nyingi ni kati ya 12000 kwa mita hadi 11500 kwa mita.

Hivyo ukizidisha mara hizo mita,hujikuta fedha unazopoteza ni gharama za kumlipa fundi.

USHAURI: Kila mwenye kujenga ama mwenye kununua mabati haswa haya ya kukatwa kwa mita, hakikisha unakuwa na kopi ya vipimo ambayo fundi amekupa na unapokwenda kuchukua bidhaa yako hakikisha unapima kila pc kulingana na kopi uliyonayo. Hakikisha bati zisipigwe hadi uhakiki.

Tuma ujumbe huu kwa kila group umuokoe mtanzania mwenzako katika ubadhirifu huu unaofanywa na mafundi wengi wa kupaua nyumba wakishirikiana na wenye kuuza mabati kwa kisingizio eti "matajiri wanatubana kwenye malipo"
Waone hawa jamaa JMK ROYAL SERVICES. Bati la IT5/MSOUTH/MIGONGO MIPANA

Bati la IT5(industrial Trough 5) maana yake migongo iliyolala ni mitano ndio maana likaitwa IT5 au wengi hupenda kuyaita mabati ya msouth.

Kwa bati la sunshare hutengeneza bati hili kwa kiwango cha hali ya juu,na imara sana,kukinganisha pia na bati zingine

-Upana(overall width). Mabati ya it5 ya sunshare yapo katika upana wa aina tatu ,upana wa 87 cm sawa na870mm, upana wa 98cm sawa na 980mm, na upana wa 107cm sawa na 1070 mm.

Upana wa kuezekea(effective cover)
Za upana wa 87cm effective cover width yake ni 82cm

Za upana wa 98cm effective cover yake ni 91cm

Za upana wa 107cm effective cover yake ni 101cm
-Gauge yanapatikana kuanzia 26gauge,28gauge na 30gauge.

-Urefu linatengenezwa kuanzia urefu wa meter moja mpaka meter 12,kulingana na vipimo utakavyo

-material ni alunzinc ,

-Rangi ni blue,skyblue,green,brickred,charcoalgray,red,tile red na brilliant white .hazipauki.kuna maabara ya kupimia ubora na upaukaji wa rangi

Bei:hutofautiana kulingana na gauge,pia na upana wa bati
Call 0656-816616,0766-004940 kwa maelezo zaidi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom