Watu kila ishu wao ni fursa, aisee sasa nimeamini kuna sehemu tunakosea kwenye elimu yetu, tunatoa elimu ya kibashiteKumbe kuna matapeli wanajifanya Maofisa wa TRA huku wanapiga mifwedha.... KUWA MAKINI DEAR USIKUBALI KUDANGANYIKA...
View attachment 525729
Hahah ni fursa kwl kwl... lakin kikubwa nawapongeza TRA kwa kutupatia taarifa za mara kwa mara... sasa tushindwe wenyewe...Watu kila ishu wao ni fursa, aisee sasa nimeamini kuna sehemu tunakosea kwenye elimu yetu, tunatoa elimu ya kibashite