Tulikuwa mahala tunaangalia mashujaa wetu wa mpira wa miguu umri chini ya miaka 17 dhidi ya Mali Kuna vitu tumejikuta tunatafakari.
Pamoja na kiwango kikubwa walichoonyesha kupambana na mabingwa...
Habari zenu wana JF,
Jameni kama Kichwa cha uzi kinavyojieleza,
mimi ni kijana ambae nina ndoto nyingi tu za maisha na Mungu akisaidia nitazitimiza.
Juzi kati nilipewa zawadi na rafiki yangu...
Maamuzi mkongwe na muda mrefu Ahamed Manyema ametutoka leo ktk Hospitali ya Mkoa ya Rufaa ya Mwananyamala.
Msiba upo Makutano Mabibo Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es salaam.
Taarifa za kifo...
Katika hali ya kawaida na elimu ya Tanzania imenishangaza moja ya habari kutoka mkoa Arusha kuwa binti wa miaka 16 eti kidato cha sita kuna FFU mmoja kambaka, sitaki kuongelea kuhusu kubakwa na...
Salam wakuu, leo napenda kuwaletea machache kuhusu nchi ya Japan:-
1. Ina visiwa vikubwa 4; Hokkaido, Honshu, Shikoku, Kyushu na vingine vidogo 6,852.
2. Ina eneo la ukubwa wa 377,950 sq.km na...
Somo tajwa hapo juu lahusika. Twende kazi
1. Kwenda na kuni, maji, miti kwa ajili ya kufungia miti ya mizabibu
2. Kwenda shule na kinyesi cha ng'ombe kwa ajili ya kutandaza chini ili kupiga...
Wakuu kwanza poleni na majukumu. naombeni kujua kuwa ni kweli hiyo campuni ya HELPING HANDS INTERNATIONAL imesajiljwa hapa Tanzania au ni njia ya kutuibia.
wamentumia hadi nyaraka za uhalali...
Habari zenu wakuu, kumekuwa na uvumi wa mchele feki au mchele wa plastiki. Na moja ya njia iliyosambaa ya kugundua mchele huo ni kuudundisha. Sasa leo na mimi nkasema wacha nijaribu kudundisha...
Nipo nimelala lakini ghafla nimeamushwa na ngoma karibia na dirisha watu wanapiga ngoma huku wanaimba na hii imekuwa kawaida hasa kipindi hiki cha mfungo kwa ndugu zangu waislamu hamuoni kuwa...
Mkandarasi Steven Roadworks au kwelukila ametumbukia katika mto Rutamba baada ya mtumbwi kupinduka mmoja kaokoka akiwa hai Kwelukila name mwenzake hawajapatikana bado .Tuwaombee
Wakuu wa jamvi naomba msaada kwa mtu anaejua,Kuna taasisi inauza huu MKAA mbadala Wana uita MKAA MKOMBOZI. Kama wanaweza wakasoma uzi huu tunaomba waache uboya wafanye biashara kisasa how come...
Asilimia karibu hamsin ya Wa South Afrika wanaishi kwenye limbwi la umaskini., asilimia iliyobaki ni matajir wa kizungu na familia Chache za ki Afrika.
Umaskini uliokubuhu duniani unatajwa kwenye...
Habari za muda huu wana JF Leo ikiwa siku ya kina baba duniani imenifanya nikumbuke siku ambayo mshua alinipa hela ninue baadhi ya vifaa vya ujenzi kwenye maduka aliyokuwa amenielekeza kwa sababu...
Hello Gentleman and ladies, nimeona gari ambayo nimeipenda nataka kuinunua, Naombeni msaada wenu kwa wale ndugu zangu wapendwa wanaoishi The United kingdom wanisaidie kuniepusha na kuingia choo...
Wakuu nilisikia Mkuu Kagame anataka kutupatia Wataalamu wa Information Technology na Mambo ya Computer Science kwa nia ya kuzidi Kuamsha Hamasa Juu ya Viwanda na sisi tumpe wataalamu wa Kiswahili...
Kama kichwa kisemavyo naombeni kujua kuhusu efatha maana kuna jirani Yangu ananitaka nikasali huko nashindw kukubali kwani sijui misigi yake pia maana ya Efhata na ukweli wa imani husika
Sina...
Kijana mmoja,Graduate ana hekari kadhaa za shamba pale Morogoro, analima na kupeleka mazao yake moja kwa moja sokoni.
Ana supply chakula kwa vijana wanaolalamika kila kukicha CCM imesababisha...