Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
Habari wana JF!
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa siku hii ya leo ambao inaelekea kukatika hivyo na kuja siku nyingine!
Pili naomba kwenda kwa point yangu!
1; zoezi la kujiandikisha kwa vitambulisho vya Taifa bado linaendelea mikoa yote na wilaya!
Wengi wanawasi wasi wa kutokujua kama kuna zoezi la kuandikisha kitambulisho cha taifa hivyo kwa uhakika asilimia 95% nathibisha zoezi lipo na maafisa wa nida wapo kila wilaya nchini, hivyo ni wajibu wakutambua DRO/afisa wa nida wa wilaya yako.
2: kuna baadhi ya maeneo bado hawajaanza kutokana na sababu zilizonje ya uwezo wao!
Hapa naomba nieleweke hivi "kuna maeneo ambayo tayari yamekwisha anza kuandikisha vitambulisho vya taifa, mfano mzuri wilaya ya Meatu-Simiyu. Japo afisa wa nida amekutana na changamoto like kukosa ushirikiano baina ya mkurugenz na mkuu wa wilaya, na kukosa fedha za kwa wakati but ameonyesha uthubutu kiasi flan kazi inafanyika.
Japo mwaka wa fedha haujaanza hivyo inamlazimu kufanya kazi katika mazingira magumu bila kuwa na fungu katika halmashauri ya wilaya. Sema ahsante Mungu ameweza kuthubutu kwa kutafuta operators wa kujitolea kufanikisha zoezi. Hivyo sijui DRO wa wilaya yako amekua creative namna gani mpaka mtu unasema zoezi halifanyiki." NB: pote hakuna fedha kwakuwa bajet yao haijapita.
3: kama ulipiga picha kuwa na subira coz hivi sio vitambulisho vya mpiga kura ni vitambulisho vya taifa so hauwezi sema upige hapo hapo upate, ni lazima kwanza nida+usalama wa taifa wahakiki kama kweli wewe ni raia halali so kuwa mvumilivu hata kama rafik yako kapata subir labda fomu yako ulijaza kwa makosa au ulitiliwa shaka na afisa msajili pia kuchanganya taarifa like unapeleka copy ya kitambulisho cha mpiga kura mwaka unaonyesha ulizaliwa 11--1995 alaf kwa fom umejaza 12-03-1997 hiyo pia ni kudanganya taarifa hivyo subiri uitwe ili uhojiwe vizur...
So kiufupi zoezi linaendelea hivyo niwatoe wasi wasi, pili jaribu kuuliza kwa mwenyekit wa kitongoji chako atakupa taarifa vizuri maana kwa sehem za mjini si mara nyingi wanatangaza hata kama kuna msiba bali taarifa hawatoi so ukiona kitongoji hana taarifa jaribu kuuliza kwa mkurugenzi au mkuu wa wilaya atakupa taarifa sahihi juu ya uwepo wa zoezi...
Usimind kwa kutopangilia vizur