Msaada kuhusu cheti cha kuzaliwa

miriam 11

Member
Jan 19, 2017
29
17
Heshima yenu wakuu...
Polen na kazi pia samahani kwa usumbufu huu

Kwa anaejua taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kwa mtu mzima tafadhali naomba kuelekezwa

Asanten
 
nenda ofisi ya mkuu wa wilaya, kuna kitengo cha usajiri wa vifo, vizazi na ndoa.


omba form ya cheti cha kuzaliwa. utapewa, kama hazipo katafute kwenye baadhi ya steshenari huwa wanaweka huko uliko.


ukipata hiyo form ijaze, bandika picha na kailipie sh 10,000 na utapatiwa risti.

malipo yanaweza kufanyika ofisi za DC au ukapewa akaunti ya benki ukalipe kule.


ukiwasirisha form yako, jitahidi "umsogeze" PS ili aichape faster!




ova
 
Back
Top Bottom