steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,171
- 1,580
Unajua kuongoza familia ni kazi kubwa saana hasa familia ambayo watoto wamesoma kukushinda mzazi.
Baba tulie nae sisi ni kama alitamani kuwa baba wa familia matokeo yake baada ya kuwa baba amekuta hali ngumu anabaki anatapatapa.
Baba yetu sasa hivi anatumia nguvu kuongoza familia amesahau mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Mara watoto hawafagii uwanja mara watoto wanakula sana mara watoto wanakula bila kufanya kazi matokeo yake deni duka la jirani linazidi kukua.
Mbaya zaidi leo anasema mpangaji huyu mimi simfahamu na anamtaka dalali ampe maelezo wakati kodi yake ya nyumba miaka kadhaa umepokea.
Baba ushauri wangu mchane tuu mpangaji mwambie pango unalolipa dogo niongezee kuliko kufedheheshana haipendezi. Hata sisi watoto tunajua pango dogo ila aliyemkabidhi funguo nani?