Bodi ya wataalamu wa mifumo ya kompyuta

Bodi ya wataalamu wa mifumo ya kompyuta

SIMEON KATATANAMA

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
479
Reaction score
277
Wasalaam,
Wakuu naomba kujua kama iko "Professional Board" ya wataalamu wa ICT kama ilivyo NBAA au PSPTB au chuo ambacho mtu anaweza kusoma kwa kuanza na Foundation stage kwa hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom