Nyumba ya kupanga jijini MBEYA

bibinnaa

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,500
1,376
Mulioko Mbeya nawasalimu na baada ya hizo salaamu niwaulize kama kuna anayejuwa ni wapi nitapata nyumba ya kupanga hapo city centre...nahitaji two bed rooms...living rooom toilets etc yaani SELF CONTAINED
Msaada ndugu zangu na muniwekee na bei...natanguliza shukran.
 
ni vyena ungesema unahitaji maeneo gani mkuu...changanyikeni(uswahilini)au sehemu zilizotulia??
 
Hivi mbeya kuna self kweli, maana hata ghorofa lenye lift ndio limeInduliwa juzi juzi
 
Back
Top Bottom