Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nakumbuka miaka mingi nyuma nikiwa mdogo, Naenda hospitali kuchoma sindano. Nesi anakuchoma sindano huku anakubembeleza "Pole... eeh, pole Baba'angu... utapona tu" Manesi walikuwa wapole wenye...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Hii Habari Niliisikia Siku Nyingi Sana Jamani Kuna Ukweli Au Utani Tu Wa Kutaniana Kuwa Yule Animal Anaelia Woh! Woh! Aaagh Anapikwa Supu Na Chapati Huko Irunga?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wale waliokuwepo miaka ya 80-90 nadhani wanakumbuka vizuri juu ya hii zana maarufu iliyotumiwa na majambazi katika kuvunja milango.Najiuliza hivi matumizi ya hii zana yamedhibitiwa au majambazi...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Kumekua na kawaida ya watu wakitoa Shuhuda mbalimbali katika Ibada either Makanisani ama Misikitini wakieleza ni kwa namna gani wametekeleza Ajali mbali mbali , mauaji pamoja na kupoteza watu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba mniambie mahari pazuri kuenjoy penye huduma muhimu kama bia,totoz etc.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau Hii Kwangu Binafsi Naona Kero Sana Nikipata Faradh Ya Kuumwa Malaria Huwa Namwambia Wife Asiambie Watu Wengi.Kwakuwa Mtu Unakula Mipunje Ya Dawa Umechoka Unahisi Kufa Halafu Ngo! Ngo! Ngo...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau ninaurudisha tena uzi huu hapa kwenu jamvini huu Ukwepaji kodi wa wazi kabisa unaofanywa na wafanyabiashara wa kariakoo TRA wanahusika? Karibu wafanyabiashara wote kariakoo hawatoi risiti...
7 Reactions
29 Replies
4K Views
Kuna mvuto gani wa ‘ Kutukuka ‘ kwa Wanawake hasa wa mjini huko ‘ Bagamoyo ‘ hadi huwa wanapakimbilia kila Ijumaa jioni na mapema Jumamosi / Jumamosi asubuhi? Nawasilisha.
1 Reactions
25 Replies
3K Views
1.Tuache kuwa Wanafiki 2.NGO’s zisitumie udhaifu wa Watanzania wengi kujineemesha 3.Wazazi tutekeleze majukumu yetu kiukamilifu 4.Tujikite kuwapa Elimu ya Uzazi Watoto ( Mabinti ) zetu...
12 Reactions
29 Replies
3K Views
To help your baby sit, move their legs to form a V-shape, which helps them balance. Once they are in this position, place a toy in front of them to play with. Make sure you – and plenty of...
1 Reactions
6 Replies
996 Views
1."Kwa atakaye feli,ajue pakwenda!Elimu bure haiwezi gharamia vilaza" 2."Serikali haitagharamia dawa za ARV,watakaonasa huko wawe na hela ya kununulia hizo dawa" Kama nimewanyima kusoma watoto...
22 Reactions
72 Replies
5K Views
(English version at the bottom) (Tafsiri kwa Kiingereza ipo chini) Mwisho wa mwezi huu, watu watavutwa kuangalia angani jioni upande wa magharibi mara baada ya magharibi kutafuta Mwezi mwandamo...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Mzuqa sana wanaJF. Niko na mood ya hataree mchana huu. Nimeshakabidhiwa kitu cha Arusha muda si mrefu na moja tayari imeshadisapear. Glory to Jah! Moja kwa1 kwenye mada. Mchina amewasaidia...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Huu ni wakati mhafaka kwa mawaziri Wa kike na viongozi wote wanawake ktk serikali hii kuonyesha msimamo wenu ktk kuwatetea wanawake wenzenu Kauli ya kikatili isiyo na chembe ya Huruma kwa watoto...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Utafiti mmoja umefanywa na kugundua kuwa Wale wanandoa au watu walio katika Mahusiano na wamezaa Watoto wao wakiwa na kati ya Umri wa kati ya miaka 18 hadi 45 wamezaa Watoto wasio na uwezo mkubwa...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Akizungumza kwenye kituo kimoja cha habari, rapa na msomi huyo amedai kuwa katika eneo la Bulyanghulu pekee kabla ya kuja mwekezaji palikua na wachimbaji wadogo zaidi ya laki tatu wanaojiajiri...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimefuatilia majadiliano ya mwelekeo wa taifa letu kuhusu halisi kuwa tunakwenda wapi? Nikiwa mwananchi mzalendo napenda nitoe ya moyoni. Taifa letu, ukirejea Katiba yetu linafuata siasa ya ujamaa...
0 Reactions
1 Replies
679 Views
Nawatakia IDD njema watanzania wote!! Lakini huku tukiangalia ni mfumo gani Mzuri hapa kwetu Tanzania ktk kumpa elimu mtoto wa kike ktk mazingira yoyote Yale ambayo anayo...
0 Reactions
5 Replies
792 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…