Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Kumekua na kawaida ya watu wakitoa Shuhuda mbalimbali katika Ibada either Makanisani ama Misikitini wakieleza ni kwa namna gani wametekeleza Ajali mbali mbali , mauaji pamoja na kupoteza watu katika mazingira mabaya.
Ifike mahala sasa tulitizame jambo hili katika upeo mwingine wa kisheria huku tukikumbuka watendewa wa haya pia ni Binadamu na Familia za waathirika zimegharamika kwa namna moja ama nyingine.
Najua wengi mtakuja na kigezo cha serikali kutoamini katika dini,lakini je vip kuhusu viapo vinavyotumika makanisani,je vip kuhusu wachawi wanaonguka usiku na kuishia kuburuzwa katika vyombo vya dola.
Kuna haja sasa ya hawa watoa shuhuda za mauji kutafutia namna ya kupata haki zao stimilifu kwa mauaji waliyoyafanya.