Jiwe la Fatuma limepotelea wapi?

Jiwe la Fatuma limepotelea wapi?

banned do

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
574
Reaction score
507
Wale waliokuwepo miaka ya 80-90 nadhani wanakumbuka vizuri juu ya hii zana maarufu iliyotumiwa na majambazi katika kuvunja milango.Najiuliza hivi matumizi ya hii zana yamedhibitiwa au majambazi wame-advance na kuhamia kwenye matumizi ya zana nyingine.Maana enzi hizo ukiwa na radio [emoji343] au TV [emoji342] lazima jiwe fatuma likuhusu.
 
Kibiti
 
ha ha hah ahaaa,mkuu mageti ya chuma yalikuja kulidhibiti JIWE FATUMA,wezi wa siku hizi wana`target pesa tu,TV na NGUO sio vipaumbele tena,ila umenifanya nicheke baada ya kunikumbusha longi sana...
 
Wale waliokuwepo miaka ya 80-90 nadhani wanakumbuka vizuri juu ya hii zana maarufu iliyotumiwa na majambazi katika kuvunja milango.Najiuliza hivi matumizi ya hii zana yamedhibitiwa au majambazi wame-advance na kuhamia kwenye matumizi ya zana nyingine.Maana enzi hizo ukiwa na radio [emoji343] au TV [emoji342] lazima jiwe fatuma likuhusu.
Siku hizi hawabebi hayo madude tech imekuwa
 
Enzi hizo nilikuwa nikisikia Jiwe Fatuma nilikuwa nadhani ni jiwe ambalo muonekano wake ni wa ajabu sana.
 
Mh mhmmmm mbona umekumbuka ulikua ukiyatumia au....

Hapana mkuu nimeiona TV ya black N white hapa yenye genge station kama ya radio [emoji343] mbao mawazo yakaenda mbali sana.Maana enzi hizo tulikuwa tukisikiliza kwa sauti ya chini sana ili majambazi yasije yakajua kuwa tunamiliki radio na TV.Pia kabla ya kulala ni lazima mlango uwekewe vitu vizito mixer makochi.Acha kabisaa enzi hizo.
 
Attachments

  • IMG_1278.jpg
    IMG_1278.jpg
    108.7 KB · Views: 42
Hahha siku hizi wanatembea na spray tu wanapuliza loki inaachia yenyewe sio lazima wapige jiwe la fatuma. Tecn hatari sana.
 
Halafu majambazi wa zamani sura zao zilikuwa zinafanana na ujambazi.Sura mbovuuuuu hata huwezi kuuliza.
 
wekeni picha ya hilo jiwe¿? kwa nn liitwe Fatuma na sio Rose?
 
Back
Top Bottom