Tuache Utani Kuna Ukweli Wowote Dog Ni Kitowewo Huko Viunga Vya Ipogoro?

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
942
566
Hii Habari Niliisikia Siku Nyingi Sana Jamani Kuna Ukweli Au Utani Tu Wa Kutaniana Kuwa Yule Animal Anaelia Woh! Woh! Aaagh Anapikwa Supu Na Chapati Huko Irunga?
 
Kama unamaanisha Ipogoro - Iringa nimekaa huko miaka 7 sijawahi kuona hata mtu akiua hao viumbe, labda zamani sana.
 
Back
Top Bottom