qq.com
JF-Expert Member
- Jan 9, 2012
- 367
- 123
Wanabodi.
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na taarifa mbalimbali za mzozo kati ya meya huyu na mbunge wa jimbo la bukoba mjini Balozi Khamis Kagasheki.
Kwa ambao hawajui sababu ,chanzo undani wa mgogoro huu wa kisiasa sasa kupitia thread hii watajua kila kitu,siasa za bukoba kuelekea 2015 na mambo kadha wa kadhaa kuhusu wanasiasa hawa lakini hasa huyu ANATORY AMAN ni nani?.
Baadaye nitakuwekea historia yake kuanzia alikozaliwa,alikosoma,amefanya nini mabaya na mazuri yake lengo kuu ni kutaka kuweka kumbukumbu sawa kwa wale ambao wanajifanya kuchambua siasa za huyu bwana.
Kupitia hii thread nitachambua na kuweka hapa mambo yafuatayo:
i)Alivyo FISIDI Mradi wa viwanja Bukoba
ii)Alivyo FISIDI Mradi wa Soko Bukoba
iii)Alivyo FISIDI Mradi wa ujenzi wa stendi kuu ya mabasi bukoba mjini
iv)Mengine kuhusu Anatory Aman.
v)kuweka nyaraka mbalimbali hapa JF
i)Alivyo FISIDI Mradi wa viwanja Bukoba
Kwanza mapema kabla ya uongozi wa Anatory aman ,Halmasahuri ya Manispaa ya Bukoba iliandaa mradi wa kupima viwanja vya wananchi wa manispaa ya bukoba vipatavyo elfu 5 .Halmashauri iliomba fedha kutoka wizarani kutekeleza mradi huo lakini wizara haikuwa na fedha.Mradi huu ulipanga kutumia sh 2.6 bilioni.
Baada ya meya kuingia madarakani mwaka 2010 mchakato ulibadilika kwani yeye aliamua kutafuta mtu wa kuwapatia fedha kutekeleza mradi huo kama ilivyokuwa imepangwa lakini safari hii aliomba mkopo kutoka TIB ambapo katika kikao kimojawapo cha madiwani alidai kupata mtu wa kuisaidia manispaa kupima viwanja hivyo kwa sh 2:4 bilioni kwamba itasaidia kuokoa sh milioni 200 iwapo wangetumia wizara.
Lakini baadaye bila maandishi alidai kwenye kikao cha madiwani kwamba TIB wameomba ziongezwe kutoka 2.4 bilioni hadi 2.9 bilioni na kuwa TIB walitaka walipwe sh 3.5 bilioni baada ya kumaliza kazi ya kupimisha viwanja na kuuza.
Hapa milioni 500,000 hazijukani zilipo
Viwanja vya kupima mali ya nani?
Kwa kuwa manispaa ya bukoba haikuwa na viwanja MEYA Anatory aman aliamua kuanza kununua viwanja na mashamba ya wananchi kwa gharama ya sh 300-400 kwa square meter moja.Kwa mtindo huo walinunua viwanja vya wananchi kwa makubaliano kwamba katika mchakato wa kuvobresha kwa kuweka barabara ,umeme na maji basi wangewauzia wananchi hao hao kwa riba kidogo,wananchi walikubali.
Baada ya kununua viwanaj vyao sasa halmshauri imepima viwanja kwa kushirikiana na TIB lakini inauza square meter moja kwa sh kati ya 3500 na 4000 hivyo waliofanikiwa kununua viwanja hivi ni matajiri na watu wenyer kipato cha wastani.
Bei ya kushika kiwanja ilikuwa ni sh 210,000 hadi 510,000 na iwapo mhusika angepata basi wakati wa kuilipa zinakatwa depost zake.hapa halmshauri iliingiza wastan wa jumla ya sh 170 milioni (kwa walilipia sh 350,000) tu ambazo MEYA Anatory aman aliziingiza katika account t(fixed account) ya kuzaa katika benki moja nchini.fedha hizi zimekaa humo kwa miezi mitano kabla ya kuanza mchakato wa kuanza kugawa viwanja hadi sasa nusu ya fedha hizi bado ziko kwenye hiyio account na taarif ya meya ni kuwa waliiomba waendelee kusubiri mchakato mpya unaoendelee.HAPA FEDHA YA WANANCHI INAENDELEA KUZALISHWA TU.
Ngoja nipumue kidogo naendelee ..
Nb:Anatory Aman ni mmojwapo wa member humu JF hivyo nafikiri atajitokeza kujibu baadfhi ya hoja hapa ili watanzania wajue mbivu na mbichi.