Yawakutayo waganga wa kienyeji

Yawakutayo waganga wa kienyeji

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,669
Reaction score
860,990
1459473453954.jpg

Hakuna kazi inayokosa changamoto, hata uwe mwerevu na mahiri vipi lakini lazima tu utakutana na kisiki
Waganga wa kienyeji nao hawajapona kwenye hili wengi walishapitia na majanga makubwa tu

Ukiacha yale ya kitapeli wa na wateja au kuua wa live au kupokea kichapo lakini vile vile kuna majanga kama haya

-kumchinja kuku kisha asife bali asimane bila kichwa
-kumchinja kuku kisha asitoke tone la damu
-kupasua nazi ikatae kabisa kupasuk
-kupika nyama isiive kabisa nk nk

Kuna baadhi ya waganga huwakataa wateja...kwakuwa wanajua huu ni mtego, kwenye ulimwengu wa roho ulimwengu wa giza kuna kujaribiana na kuoneshana nani zaidi

Zipo njia nyingi tu za mapambano ya aina hiyo na hii hutokea zaidi mmoja akiwa mahiri zaidi ya wengine au mmoja akijifanya mjuzi sana na kutambia wengine

Unaposikia mganga kafa kaugua au kapatwa na dhahama yoyote mara nyingi huyo kajaribiwa na wenzake.

Akipambana akashinda cheo huongezeka akipambana akashindwa lakini akaokoka na kifo aidha huacha kabisa uganga na kumrudia Mungu au hurudi kujipanga upya...sio wote wanaoacha uganga na kuokoka hufanya hivyo kwa ridhaa

5585a58d41614c6a2703e476f153b853.jpg
 
Duuuuh, kumbe! Hivi waganga wanaweza kumtibu mgonjwa kwa collabo?
 
Duh!yaani kama ligi?kuna vpl,epl,bundasliga,laliga hapo viwango vinaongea.Ila hiyo ya kujaribiana kiboko mtu anastaafishwa kwa lazima.
 
View attachment 333904Hakuna kazi inayokosa changamoto, hata uwe mwerevu na mahiri vipi lakini lazima tu utakutana na kisiki
Waganga wa kienyeji nao hawajapona kwenye hili wengi walishapitia na majanga makubwa tu
Ukiacha yale ya kitapeli wa na wateja au kuua wa live au kupokea kichapo lakini vile vile kuna majanga kama haya
-kumchinja kuku kisha asife bali asimane bila kichwa
-kumchinja kuku kisha asitoke tone la damu
-kupasua nazi ikatae kabisa kupasuka
-kupika nyama isiive kabisa nk nk
Kuna baadhi ya waganga huwakataa wateja...kwakuwa wanajua huu ni mtego, kwenye ulimwengu wa roho ulimwengu wa giza kuna kujaribiana na kuoneshana nani zaidi
Zipo njia nyingi tu za mapambano ya aina hiyo na hii hutokea zaidi mmoja akiwa mahiri zaidi ya wengine au mmoja akijifanya mjuzi sana na kutambia wengine
Unaposikia mganga kafa kaugua au kapatwa na dhahama yoyote mara nyingi huyo kajaribiwa na wenzake. ..akipambana akashinda cheo huongezeka akipambana akashindwa lakini akaokoka na kifo aidha huacha kabisa uganga na kumrudia Mungu au hurudi kujipanga upya...sio wote wanaoacha uganga na kuokoka hufanya hivyo kwa ridhaa
5585a58d41614c6a2703e476f153b853.jpg
Dada embu njoopande hizi fasta, Kuna ujumbe mwingine hukuuu
 
Back
Top Bottom